AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
Wifi nimepona uzuri niutoe wapi? Huoni naficha sura na ushungi?
Kujificha na ushungi? ndo iwe kipimo cha kupima uzuri..... Alafu lini umeanza tabia mbaya.... Nakusifia wakataa badala ya kusema asante?