Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
ni mzuri wapi sasas? Hv umemwangalia vizuri sis? Kwa observation ya haraka haraka anaonekana ana minyoo mikali sana tena imeshambulia hadi mifupa,ata smile ni la kulazimisha inaonekana alitoka kuugua ebola na kipindupindu ndo ana recover.

duhhhhhhhh Smile bana ..
Naona leo umeamua dahhhh..
 
Michelle you are one beautiful lady I hope you know that.... (ila huna haja ya kufungua thread)..

Hallow...

Hallow, I know that dearest....nikiishiwa vya kuandika naweza weka thread...lol...nafikiri mkijua nilivyo mzuri mtanipa ada ya watoto wangu wawili na chakula chao na shopping dubai au paris??? napima kwanza,end result ya hiyo thread itakuwa nini...lol
You are beautiful Ashadii....!
 
Dah!!!

Chezea ID mpya wewe!!!
watu wanakuja wamejipanga kabisaa.......wanakuja kuleta ujumbe halafu haooooo......wanaondoka zao,
wanawaacha mnapigana vikumbo...

like that!!!
Wapi GX mia bana............kama sura zingekuwa na model kama magari, kuna watu wangesema wao ni future model ya Nissan 2013, wakati ni mandolini 109.

Orait, tunaendelea kuangalia mchapano........
 
Sweet Lady my sweet wifi tena.... How can a sweet person asiwe Mzuri? lol.... Wee mzuri kweli yaaani kuliko hata woote ulipo nao hapo wifi yangu. Ndio maana sitaki u-upload picha yako kabisaaaa..... Itakua bala hapa JF!
Hehehehe!...bht akisoma hapa lazima ajinyonge...lol. Sante wifi.
 
hivi wanawake mna matatizo gani? mungu wangu, yeeeeeeeeeeeeesu na maria!
 
On a Serous note: Kuna house gal nyumbani... Ni mzuri mno! Tumempiga marufuku kuenda sokoni kwa jinsi anavosumbuliwa na kulalamika.... Sidhan kama kua house gal ni kigezo cha kupima uzuri Kid sis.... Ila I can definately say one thing! "hapo ulipo wee mzuri kuliko Radhia"

Na hii ndiyo post ambayo imeongea dadangu AshaDii.
 
I'm watching,closely... (Nimemtafuta ugomvi kakako ili nitikise kibiriti hata sijampatia sababu. Usiponisifia kakako anakuwa single soon!!)
Sweet Lady my sweet wifi tena.... How can a sweet person asiwe Mzuri? lol.... Wee mzuri kweli yaaani kuliko hata woote ulipo nao hapo wifi yangu. Ndio maana sitaki u-upload picha yako kabisaaaa..... Itakua bala hapa JF!
 
Dah!!!

Chezea ID mpya wewe!!!
watu wanakuja wamejipanga kabisaa.......wanakuja kuleta ujumbe halafu haooooo......wanaondoka zao,
wanawaacha mnapigana vikumbo...

like that!!!
Wapi GX mia bana............kama sura zingekuwa na model kama magari, kuna watu wangesema wao ni future model ya Nissan 2013, wakati ni mandolini 109.

Orait, tunaendelea kuangalia mchapano........

Mie nimesema toka mwanzo híi kitu. Wapi Eliza wa Tegeta?
 
Hallow, I know that dearest....nikiishiwa vya kuandika naweza weka thread...lol...nafikiri mkijua nilivyo mzuri mtanipa ada ya watoto wangu wawili na chakula chao na shopping dubai au paris??? napima kwanza,end result ya hiyo thread itakuwa nini...lol
You are beautiful Ashadii....!

In other words kama malengo ya Radhia ni attention (maybe from our brothers via pm) hajakosea kupost hii kitu? lol... hivo a means to an end.... hahahaha..... Utaniambia ukirusha siku hio niwe mtunza hazina.

Hapo in blue.... I am humbled.

Michelle happy to see you.... WELCOME back!
 
Bado naendela kucheeeeeeeeeka tuuuuuuuuuuuuuu. Sijui kama nitamaliza kucheka as The Bosss always says that ''JF is never boring''
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom