Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Twanga pepeta nnavyoipenda ntakunywa sumu juu yake!
Jirani, jirani yangu eeeh!
Nimekukosea nini!
Kila ninachokuomba jirani, mwenzangu wanikatalia!

haki ya nani wee, hebu tupa hiyo binduki tuyarudi kabisa....
 
umetulia dada natamani nikukaribishe kwangu ila mama mwenye nyumba hataki wageni wa kike.
 
Radhia Sweety.... twende mbele turudi nyuma Kweli ni Mzuri....
Hongera kwa kujiamini Mrembo.... Raha jipe mwenyewe.

Mi napenda sana wanawake mnao wakubali wanawake wenzenu umeona wengine hapo juu wanavyo tokwa na mipovu
 
radhia sweety.... Twende mbele turudi nyuma kweli ni mzuri....
Hongera kwa kujiamini mrembo.... Raha jipe mwenyewe.
mmmh ana uzuri gani sasa?ana minyoo hadi kwenye pua
 
Mi napenda sana wanawake mnao wakubali wanawake wenzenu umeona wengine hapo juu wanavyo tokwa na mipovu



Ni kweli ni mzuri, ila tu the way kaiwakilisha.... Kana kwamba wanawake woote wabaya wamuonea wivu? Siamini, tena ukute hata wazuri wenzie wamuonea wivu. Iliku haina haja ya kuponda wenye sura mbaya... Naona hio ndo yafanya most kutokwa povu...
 
mmmh ana uzuri gani sasa?ana minyoo hadi kwenye pua



hahaha Kid sis are we looking at the same avatar? Sababu kama ndio hio kaweka hebu angalia pose, nywele, rangi ya ngozi, size ya mweli wake, pua, boobs.... She looks lovely....

Ukija kwa uwakilishi wake kusema kuhusu uzuri wake ndio tatizo lipo hapo.... Lakini at the end of the day ukiweka hasira pembeni, If indeed hapo alipo ndio Radhia mwenyewe... She is beautiful....
 
Mweeh twende zetu tukauguze wagonjwa ODM na Senator mie nimepona



Wifi kweli umepona... Mpaka umekua muuguzi... Maana kua muuguzi wa ODM yataka moyo... BTW Wifi nawewe ni mzuri kweli yaani.
 
kumbe je!! maana tunaweza kuwa wabaya kwake kwa wengine wazuri...lol!!

(ukikiona cha nini wenzio wajiuliza watakipata lini)

usema ukweli nimemkubali ana shepu nzuri ..

Ila ye kusema "wenye sura mbaya" na wakati
hajawahi kuona mtu anaemuongelea si fresh kabisa..
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
attach hiyo picha halafu Izoom, Hapo kwenye avator inaonekana kwa mbali sana..hivyo inakuwa ngumu mtu kujua ukweli uko wapi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom