Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
Hongera, nimefurahi kwa kusema wewe ni mrembo, nilidhani na wewe utachanganya Urembo na Uzuri.
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........

Kila nikiangalia hapo kifuani network ya ubongo inakata kata
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
nilidhani ndo unakupa maisha mazuri kumbe ni kujiweka hadharani huku jf? so what?
craaaaaaaaaaap
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom