Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
warembo mmeshapata lunch jamani..naona sreadi inaenda tu hambanduki hapa ooh kuna hatari ya kuunguza...Mimi ni kisura najitambua
 
Hehehehe!...bht akisoma hapa lazima ajinyonge...lol. Sante wifi.

Mbona nae Bht mzuri jamani!! Hivi nini hasa mwaangalia kusema mtu mzuri... Labda naenda chaka! lol

Asante my lovely wifi mie mrembo sana tu


Urudie tena! Sasa umemeguka? lol..... Huo ndo mpango mzima.... Sina wifi ambae sio mzuri mimi...

Hata Radhia nataka nimhalalalishe kwa kakangu....lol... Sijui nani atamuweza.... Dah.
 
Hehehehe!...bht akisoma hapa lazima ajinyonge...lol. Sante wifi.

Bee hanaga wivu wa kihiivo bana mbona unanisingizia wee 'hater'
halafu tangu asbh unapiga domo tu wala hubandiki picha yako ile umevaa masendeu na migubaja yako...lol
 
warembo mmeshapata lunch jamani..naona sreadi inaenda tu hambanduki hapa ooh kuna hatari ya kuunguza...Mimi ni kisura najitambua
Mie nimeshiba ila DA bado hajakula. Anataka homa imrudie tumpelekee tena juice na matunda.
 
Kweli naamini sasa usemi wa Padri mmoja mwalimu wangu kwamba "UKITAKA KUJUA KAMA MTU NI MSTAARABU AU LAAH, WE SUBIRIA WAKATI ANA NJAA KALI HALAFU AKIONE CHAKULA MBELE YAKE". Jinsi KI-APPROACH hicho chakula ndo utamjua kama ni mstaarabu au laah!
 
In other words kama malengo ya Radhia ni attention (maybe from our brothers via pm) hajakosea kupost hii kitu? lol... hivo a means to an end.... hahahaha..... Utaniambia ukirusha siku hio niwe mtunza hazina.

Hapo in blue.... I am humbled.

Michelle happy to see you.... WELCOME back!

Good to see you too dearest....Radhia hajakosea kabisa kuweka hii thread. Huoni tuko hapa,mi nina raha kama nini? jivunie ulicho nacho ila tu usikitumie kukwaza wenzio...!
 
I'm watching,closely... (Nimemtafuta ugomvi kakako ili nitikise kibiriti hata sijampatia sababu. Usiponisifia kakako anakuwa single soon!!)



OMG!!! My best Wifi na # 1.... Kakazangu hawaoi kama wee mbaya....lolz... Hata kama uko fit kila sehem kama sio mzuri kuolewa ipo nje kabisa! Hivo tu kua you are my Wifi ni short code ya kusema "King' is beautiful"
 
Dah!!!

Chezea ID mpya wewe!!!
watu wanakuja wamejipanga kabisaa.......wanakuja kuleta ujumbe halafu haooooo......wanaondoka zao,
wanawaacha mnapigana vikumbo...

like that!!!
Wapi GX mia bana............kama sura zingekuwa na model kama magari, kuna watu wangesema wao ni future model ya Nissan 2013, wakati ni mandolini 109.

Orait, tunaendelea kuangalia mchapano........


da Bigirita hii ni useful post haroo nitafute nikupe mzinga wa konyaji:A S-coffee:
 
Radhia Sweety you beautiful Lady anaejikubali na kujitambua... Kama you are not committed...


"Will you marry my Brother? Pleeeease?"

Which one? coz am engaged to him...or you meant your cousin?? lol
 
warembo mmeshapata lunch jamani..naona sreadi inaenda tu hambanduki hapa ooh kuna hatari ya kuunguza...Mimi ni kisura najitambua



Nikupe siri FL1? Shem alichaguiwa uraisi sababu ya Uzuri wako wewe... lol... Voters walikua hawana jinsi..


Leo twapata nini mchana? Njaa...:yawn:
 
RADHIA SWEETY MTEGO WAKO UMESHANASA 'SAMAKI' (wa/MHUSIKA) uliyetaka jamii ya jf wamjue. Waombe mods wafunge huu mjadala, kesho anzisha uzi mwingine unase samaki wengine
 
bi dada u mrembo.....ila unachamba hataaari.............me mnanipa raha tuuu....aya endelezeni ligi watu tuenjoy..:lol::lol:
 
Bee hanaga wivu wa kihiivo bana mbona unanisingizia wee 'hater'
halafu tangu asbh unapiga domo tu wala hubandiki picha yako ile umevaa masendeu na migubaja yako...lol
Hahaha....naibandika mda sio mrefu...afu kwa taarifa yako siku hizi miguu yangu imenyooka..
 
Ukitaka kujua speed ya lori, litwike mzigo wa binduki. Weeh ina maana huyarudi bado, changamkia tenda
Wivu sina, ila roho inauma beibeee!
Wanaponiona, mimi na sweetie wangu beibeee!

mdediketie RS hiyo korasi...
mi kiduku na segere ndo naweza
 
Radhia Sweety you beautiful Lady anaejikubali na kujitambua... Kama you are not committed...


"Will you marry my Brother? Pleeeease?"

Now you are getting too far my sister! It was all enough (for you) to appreciate my beauty........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom