Si vibaya kujisifia uzuri wako, ila unautumia kufanya nini na kwa maslahi ya nani zaidi yako...kuna wadada wazuri tu tunawaona kila kukicha wakifanya kazi za jamii,kusaidia watu,kuwapa watu moyo,kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wenye uhitaji,huo ndo uzuri ninaotamani wasichana wengi tujivunie. Huu wa sura uwe ufunguo wa matendo mema,na yenye utukufu kwa Mungu aliyekuumba na si wa kuangalia asiye mzuri kama wewe...!!
NB: Lizzy wewe ni msichana mwenye uwezo mkubwa wa kujadili hoja nzuri na muhimu sana kwa jamii. Kuona kwamba umetumia muda mrefu hapa kunanipa shida...i know the beauty n strength in you, lets remain focused!! mshukuru pia Mungu kukuumba mzuri na kukupa moyo wa kupenda watu,kuheshimu wote, na kupenda kuwa sehemu ya kufanya maisha ya wenye uhitaji bora zaidi. Its the beauty you should be more proud than anything!
Radhia, hongera sana,u mzuri na mwenye mvuto sana,ni kweli wala sikejeli. Uthamini uzuri wako na usiutumie ku-show off,manake hata mashangingi na malaya wengi ni wazuri zaidi hata ya wewe,asset yao ni uzuri wao lakini mbele za wanadamu si kitu. Its how you use the beauty in you that matter most.