Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
cheki mabega hanywi dadii kweli huyu? au wanzuki?

Hahahaa mi sijaona hata hiyo avatar inayojadiliwa.
Ila umenikumbusha wanywa gongo wanavyotembeaga mabega juu juu kama yameegeshwa.
 
ana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke

mh mh mh, unajua ukiongea hivyo unamkosea Mungu hebu mpe credit zake basi mbona wadada wa JF hamuwakubali wadada wenzenu ambao ni warembo?
 
Hahahaa mi sijaona hata hiyo avatar inayojadiliwa.
Ila umenikumbusha wanywa gongo wanavyotembeaga mabega juu juu kama yameegeshwa.
si ndo hayo vinywele viko vichache vinapukutuka.nadhani ana minyoo sana huyu mama.
 
Nyie mabinti ebu acheni kuraryrana... hivi mnafamu kuwa babu hayupo leo... subiri arudi ndo muanze kwa sababu atawapatanisha
 
si ndo hayo vinywele viko vichache vinapukutuka.nadhani ana minyoo sana huyu mama.

Nywele za kitaliano+kigiriki+kichaga hizo babu. Yaani kuhusu nywele wala usithubutu kuongea.
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
dahh!! umenikuna!! sikua nimeiona hii post!!!! safiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom