Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,084
mtoto smile.nina shepu la kitusi,miguu ya kihaya,weupe wa kichaga.urefu wa kinyamwezi sipendi kujiuzaaaaa
Kumbe uChagga dili eenh!? Maana hawa mabinti wote wanaochuana hapa wanatambia kuwa na 'chembe chembe' za uChagga!