Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Halafu eti wanawake tunalilia haki sawa na wanaume. Haki sawa itatoka wapi kama sisi wenyewe hatupendani? Mtu kama ni mzuri basi nipeni haki yangu.

Radhia Sweety mdogo wangu, jinsi ulivyoiweka thread yako tu umeiweka kiugomvi, sasa unataka wanawake wakupende kwa ugomvi au? Ingetosha tu kama ungeiweka sura yako na kuandika...Jamani huyu ndiye mimi............ yeyote ambaye angekusema vibaya tungesema anakuonea wivu.
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
Kwa uelewa wangu mdogo tu, mtu hajisifii, wanaomwona ndo wanamsifia....samahani Kama nimekukwaza!
 
If u think u ar too small to make an impact, try to be a mosquito.
RS umethubutu, umewezwa, unazidi kulisongesha, hongera mrembo!
Mke mwenza nilikuwa nakukumbuka sana, yaani usingepita hapa uache baraka zako nisingekuelewa..
 
Jaquiline Wolper!

DSC00631.JPG
 
If u think u ar too small to make an impact, try to be a mosquito.
RS umethubutu, umewezwa, unazidi kulisongesha, hongera mrembo!

Sijui kama watarudi tena vishankupe. Umewamaliza shosti.
 
Sijui kama watarudi tena vishankupe. Umewamaliza shosti.

maneno na tabia za mtu humfanya aonekane mbaya au mzuri machoni pa wengine
(kuna watu unatamani angefunga tu mdomo bila kuzungumza ili uendelee kumuona vile anavyoonekana, hamad ukasikia kauli zake loooh unasema hazijatoka kinywani mwa yule)
 
Weka picha mama, maneno mengi ya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom