Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Asante shosti! Hapo shemeji yako alikataa nisivae hijab kwasababu ningeficha sura ya ukweli hiyo.

MashaAllah, mwambie shemeji wewe upo kwa ajili yake na asikutangaze kwa wengine atakuja kulia, kuna watu wana "offer" ambazo "can never be refused" na hijab haina maana ufiche sura, japo jistiri nywele tu, uvae nguo zisizo onesha "umbo lako", hilo ni kwa ajili yako na aliyekuoa kihalali.

Unanikumbusha mjadala (debate) moja niliyoisikia; advertisement ya BMW halafu kuna picha ya BMW na mrembo na kibikini tu, chini imeandikwa "test drive her now", mtoa mada (Ahmed Deedat) anauliza "the car or the girl?" nai afanyiwe majaribio ya kuendeshwa? hiyo imekusudia kuonyesha jinsi wanawake tunavyotumiwa na kufanywa watumwa kwa uzuri wetu.

Isitoshe, katika Uislaam tunafundishwa kuwa mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha Mungu wake na sifa ya uzuri pekee haitufanyi kuwa bora mbele ya binaadam na Mwenyeezi Mungu.

Halafu kuna methali ya Kiswahili inasema "kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza". nadhani unaielewa.
 
Nilidhani kuna vita kumbe wanawake wanaongea.
 
mashaallah, mwambie shemeji wewe upo kwa ajili yake na asikutangaze kwa wengine atakuja kulia, kuna watu wana "offer" ambazo "can never be refused" na hijab haina maana ufiche, japo jistiri nywele tu, uvae nguo zisizo onesha "umbo lako", hilo ni kwa ajili yako na aliyekuoa kihalali.

Unanikumbusha mjadala (debate) moja niliyoisikia; advertisement ya bmw halafu kuna picha ya bmw na mrembo na kibikini tu, chini imeandikwa "test drive her now", mtoa mada (ahmed deedat) anauliza "the car or the girl?" nai afanyiwe majaribio ya kuendeshwa? Hiyo imekusudia kuonyesha jinsi wanawake tunavyotumiwa na kufanywa watumwa kwa uzuri wetu.

Isitoshe, katika uislaam tunafundishwa kuwa mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha mungu wake na sifa ya uzuri pekee haitufanyi kuwa bora mbele ya binaadam na mwenyeezi mungu.

Halfu kuna methali ya kiswahili inasema "kizuri cha jiuza, kibaya chajitembeza". Nadhani unaielewa.
mpe ushauri huyo
 
tunaomba utuwekee picha yako kubwa hapa ubaoni tuone huo uzuri unaotambia..hivi kwenu somalia hakuna maeneo?
 
MashaAllah, mwambie shemeji wewe upo kwa ajili yake na asikutangaze kwa wengine atakuja kulia, kuna watu wana "offer" ambazo "can never be refused" na hijab haina maana ufiche, japo jistiri nywele tu, uvae nguo zisizo onesha "umbo lako", hilo ni kwa ajili yako na aliyekuoa kihalali.

Unanikumbusha mjadala (debate) moja niliyoisikia; advertisement ya BMW halafu kuna picha ya BMW na mrembo na kibikini tu, chini imeandikwa "test drive her now", mtoa mada (Ahmed Deedat) anauliza "the car or the girl?" nai afanyiwe majaribio ya kuendeshwa? hiyo imekusudia kuonyesha jinsi wanawake tunavyotumiwa na kufanywa watumwa kwa uzuri wetu.

Isitoshe, katika Uislaam tunafundishwa kuwa mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha Mungu wake na sifa ya uzuri pekee haitufanyi kuwa bora mbele ya binaadam na Mwenyeezi Mungu.

Halfu kuna methali ya Kiswahili inasema "kizuri cha jiuza, kibaya chajitembeza". nadhani unaielewa.

Mchango Kuntu FF
Mwanzisha thread hawezi kukusoma hadi kiama.Hilo jina lake ni pambo tu.
Anataka attention ya wanaume, na wakishamuona wamtongoze kwa kwenda mbele.
 
UMEMPA UKWELI FIRST LADY 1Huyu mtu anajiuza humu JF naona kakosea website zileeeee.....tumsamehe bure.HAJAWAHI KUSIKIA KWAMBA "UZURI BILA UBONGO ULIOKAA SAWA" HAULIPI SIKU HIZI LOL
mweeehh!!!
 
mtoa mada mwaya njoo ujishebedue uwanja ni wako umefanikiwa kuteka hisia za wengi !!!!!
 
......Mjukuu Mtiifu... 2012?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Babu Teamo bana................... bado napangua kabati kuondoa ya mwaka jana. Nitajipanga maana na mie lazma niiweke hii sura yangu ngumu kama nimepigwa na ugali wa magereza! Tena wa mtama!
Mwanamke kujiamini (Source: Mtoa mada)
 
hatuwezi kukudanganya ungekuwa mzuri tungekuambia mbona simple.wewe sio mzuri sasa tusemeje zaidi?

...aaaaaaaahhhhhhhh,,,, just be honest!!, halafu kwani uko na nani? mbona watumia wingi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom