Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Huyo askari hajui miguu ilipo? Hana shabaha
 
silaha nyingi zinaendelea kuwa kwenye mikono mingi isiyo salama. Nadhani hata hicho kiburi cha kupaki mahala pasipo stahiki kinaonyesha huyu ni mwanamke wa aina gani. Leo katolewa upepo kwa makosa yake kamtolea bastola afisa usalama, kesho akichelewa kupewa chenchi bar ataua muhudumu! Yalabi tuepushie hili balaa.
 
Wengi wanamsifia huyo askari kwa kitendo alichofanya (naamini kafuata weledi wa kazi yake)...

Lakini binafsi namuonea huruma maana kwa namna nchi yetu ilivyo hakawii kubambikiwa kesi ya ajabu...

Huenda hata akaambiwa alitishia kumuua mwanamke 'bilionea'...
 
Kama kilikuwa kimada cha boss Nchimbi askari atahamishwa lindo
 
Hata mimi nisingemkawiza katika mazingira hayo,safi sana askari.
 
angempiga ya mguu ili akatwe mguu alafu angeona huyo aliyemuhonga iyo gari na iyo bastola kama angemtaka tena!!!
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.
Kama ni kweli huyu mwanamke ni mjinga wa kutupwa! Amemuaibisha mme wake kama anaye (nina mashaka kwa tabia hii). Askari amefanya vizuri sana kumjeruhi mkono badala ya kumletea madhara makubwa.
 
Kila mtu aheshimu kazi ya mwenzake, pia kauli njema ni silaha, ona sasa anauguza jeraha, pistol keshanyang'anywa na sheria inamsubiri.
 
Huyo mama alidhani anaenda kumtishia house boy wake?Au ana asili ya lile kabila karibu na mto kikavu
 
Huyo mwanamke hana asili ya fedha na kazipata bila kuwa na asili nazo ndiozo zinazomzuzua.

Alifikiri pesa ni kila kitu.

unayo sema ni ya kweli nasikia amezaa na mkuu wa mkoa mmoja ndiyo inampa jeuri.lakini nadhani huyo askari angempa ya mguu ashindwe kutembea kabisa
 
Back
Top Bottom