Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mzee wa rula, ni kweli kabisa uyo mdada amepigwa risasi. Jana uyo mdada amepaki ktk eneo lisilo ruhusiwa,na leo kaja kapaki pale pale licha ya maaskari kumtahadharisha bila kukubali. Kawaida ktk mabenki kuna mlango wa kuingia na kutoka ambao hutumiwa na wafanyakaz wa benki kuingia na kutoka kazini,kadhalika ndo mlango pekee unaotumiwa ktk kuweka na kutoa pesa kupeleka benki kuu. Ktk jengo la tra arusha,mlango upo kushoto wa jengo. HAKUNA ANAYERUHUSIWA KUPAKI PALE.
 
Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??

Mkuu ulitaka maaskari watumie mbinu gani kupambana na raia mwenye silaha mkononi..? Nadhani askari anastahili pongezi kwa kulenga mkono uliokuwa na silaha..
 
Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??

ukicheka na nyani.. askari angezubaa kidogo mama angemtoa utumbo mwembamba
 
Nimempenda huyo afande......ana shabaha nzuri......inaelekea anaweza kulenga vitu mbali mbali kwa ufasaha hasa........hebu rudi hapo TRA uulize.......afande anakunywa biya.......?.......nataka tukutane nae Milestone baadae......

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_ngoja ntarudi da Preta....miss you much bhana.
 
Askari huyo ni mpumba-vukabisa na kama wako wawili wote ni mbwa koko...kwa nini wamempiga kiprofeshno hivyo?mwanamke amekera huyo mpaka noma mi siwapendi polisi ila kwa hili wangempiga risasi tatu..baada ya mkono wangepiga ya goti la kulia na ankle ya kushoto awe mlemavu wa kujitakia mbwa huyo...sijaipenda adhabu waliyoitoa polisi hawa wajinga ilikuwa ndogo sana....isitoshe ni mwanamke kawaletea kiburi cha kishenzi wanaume...
 
Nimempenda huyo afande......ana shabaha nzuri......inaelekea anaweza kulenga vitu mbali mbali kwa ufasaha hasa........hebu rudi hapo TRA uulize.......afande anakunywa biya.......?.......nataka tukutane nae Milestone baadae......

ha ha ha eti anajua kulenga vitu mbalimbali, ni kweli wanajua kulenga..mfuate utaona mlengo wake..
 
Askari huyo ni mpumba-vukabisa na kama wako wawili wote ni mbwa koko...kwa nini wamempiga kiprofeshno hivyo?mwanamke amekera huyo mpaka noma mi siwapendi polisi ila kwa hili wangempiga risasi tatu..baada ya mkono wangepiga ya goti la kulia na ankle ya kushoto awe mlemavu wa kujitakia mbwa huyo...sijaipenda adhabu waliyoitoa polisi hawa wajinga ilikuwa ndogo sana....isitoshe ni mwanamke kawaletea kiburi cha kishenzi wanaume...

bange mbaya jamani
 
Naambiwa,nataarifiwa,inasemekana uyo mdada amezaa na kiongozi mkubwa wa juu katk utawala wa mkoa wa arusha wa sasa. Baada ya kutoa kwenye handbag na kukock pistol maaskari wakaona wanakwisha ndo wakampiga risasi ya bega na akaanguka pale pale. Taadhari..Wadada kama mko na viongoz wakubwa,ebu jiheshimu,jeur inaweza kukuweka kilema hata kama ww ni nani! Baa sawa ila mchezo benki ni hatari kwa afya yako.
 
Huyo mwanamke eti naye nikati ya wale "ma billionaire wa Arusha" lolz!
 
ninavyoijua mimi nchi yetu utasikia huyo askari kawekwa ndani.
 
Du!!!hakuna wanawake siku hizi.Yaani wametapakaa uchafu kila mahali.F.U.C.K.
 
Limbukeni huyo mwanamke, hata kama ni hela zinampa jeuri mjini lazima kuheshima kazi ya mmtu na si vinginevyo. akomee!!!!
 
Mabilionea wa Arusha ni shida sana. Kila mahali wanatembea na manati ya mzungu.
 
Nimempenda huyo afande......ana shabaha nzuri......inaelekea anaweza kulenga vitu mbali mbali kwa ufasaha hasa........hebu rudi hapo TRA uulize.......afande anakunywa biya.......?.......nataka tukutane nae Milestone baadae......
Preta nimekumiss ujue achana na habari za mama kutoa bastola bana
Hiyo ilikuwa zawadi yake ya kuonyesha nyodo mbele ya kyombo kya dola
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom