Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

ungeandikwa.... MWANAMKE BILIONEA APIGWA RISASI....,[/QUOTE POLISI WAJERUHI: Mfanyabiashara mmoja wa madini Arusha amejeruhiwa kwa risasi na polisi akiwa benki, alitofautiana na askari aliyekuwa lindo, alazwa Mt Meru.
 
nimepata taarifa ana kampuni ya Tours Viola midolari imempa bichwa pole zake kwa maumivu yakujitakia

kama ndio huyo tenda ya magari ya juzi ya huu mkutano mkubwa ulofanyikia AICC yeye ndio alipata tenda ya kukodisha zile gari zote za ule mkutano, ana nyodo balaa viola, pole zake.
 
Nimempenda huyo afande......ana shabaha nzuri......inaelekea anaweza kulenga vitu mbali mbali kwa ufasaha hasa........hebu rudi hapo TRA uulize.......afande anakunywa biya.......?.......nataka tukutane nae Milestone baadae......
Nakutumia namba yake ukampongeze jioni tehe tehe
 
Mzee wa rula, ni kweli kabisa uyo mdada amepigwa risasi. Jana uyo mdada amepaki ktk eneo lisilo ruhusiwa,na leo kaja kapaki pale pale licha ya maaskari kumtahadharisha bila kukubali. Kawaida ktk mabenki kuna mlango wa kuingia na kutoka ambao hutumiwa na wafanyakaz wa benki kuingia na kutoka kazini,kadhalika ndo mlango pekee unaotumiwa ktk kuweka na kutoa pesa kupeleka benki kuu. Ktk jengo la tra arusha,mlango upo kushoto wa jengo. HAKUNA ANAYERUHUSIWA KUPAKI PALE.

Ni kweli ule mlango naufahamu haparuhusi kupaki gari yoyote labda iwe ya banki yenyewe.
 
umeona eeehh sifa sana......hata mie nashanga

bado alikuwa na dollars za mkutano wa juzi, na isingekuwa pesa yule angekuwa mwenzetu na sisi tu hapa,mwanamke anakera kama kitu gani hajakaa kikike kabisaaaa, nyodo yeye,dharau yeye,matambo yeye ptuu
 
...nimemkumbuka marehemu

DITTO, Ukimuona wa Mzuzuli a.k.a mtoto wa mjini...
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu w wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

hela za unga hizo.ukiona hivyo ujue alikuwa akijiamini kuwa akina flani watamtetea.vigogo wa unga
 
Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..
Labda ana uhusiano na MKUU WA MKOA maana wote kiburi ndio tabia yao, Huyo askari tunaomba wanaomfahamu iwapo litatokea lolote juu yake tuwekeeni hapa JF.
 
Mkuu ulitaka maaskari watumie mbinu gani kupambana na raia mwenye silaha mkononi..? Nadhani askari anastahili pongezi kwa kulenga mkono uliokuwa na silaha..

hata mimi namshangaa huyu,hapa juzi kwa wamarekani watu ambao wengi wetu tunapenda kuqoute kila kitu chao,askari waliuwa kijana wa miaka 13 wakijua ana siraha ya kweli(Bastola)kumbe ni toy,sasa huyu anahoji mtu kasha kok kabisa anawatisha askari, hebu yeye atufundishie mbinu hawa askari..Sio kutuletea habari za movie za komando kipensi
 
Back
Top Bottom