Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
Sasa kama aliitoa au alitishia kutoa silaha, mbele ya askari na huku akiwa kakaidi amri halali ya kutoegesha gari eneo lisilostahili... We kwa maoni yako unaonaje? Pengine/Labda una maoni yanayoweza kupindua stori hii na kuwa "two-sided" ..
Mwanzoni nilipoisoma habari ya kaka mkubwa hapa, ni wazi kuwa mwanamama huyo alifanya kosa...(askari walikuwa wanajukumika)
Lakini niliposikiliza kipindi cha Nipashe na wao walieleza tu kuwa hakutoa silaha bali alipeleka mkono somewhere in attempt of reaching something(not revealed)...hapo akapigwa risasi ya bega na kuanguka.
Sasa wazee wa kupindua story wanaweza kuanzia hapo na pengine kudai alikuwa anaenda kuchukua simu etc...
Ndio maana nikajaribu kumdadisi mleta mada atueleze tena the authenticity ya story yake kwa kila kitendo