Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Aaaaaah......kumbe ni Viola......shenzi type yake......kwa nini afande hakumfumua utumbo.......
Vipi tena Preta? au kuna mgongano binafsi wa kimaslahi?
Aaaaaah......kumbe ni Viola......shenzi type yake......kwa nini afande hakumfumua utumbo.......
huyo mwanamke achunguzwe kiundani kwani inaelekea ana vichembe chembe vya tabia za alshababu hv
Nafurahia kuona kumbe askari wetu ni watu wazuri tu wasipotumika na maccm.....
Au tuziite PESA MPAKATO
huyu vialeth ni huyu anauza wadada au hii business imempatia pesa si mchezoMkubwa ukiona % kubwa ya wana JF wanaponda kitu basi ujue ni kweli haiwezekani tuanze kumponda askari aliyeweza kutuliza mahafa ya huyo mbulula viola vialeth mathias.
Inasemakana ni small house ya mzee wa"nitakutafuta kokote uendako" na ni msomi kwa level ya diploma hapo mmu na amempatia mtoto dume huyo boss. Nadhani kiburi kimetokana na kuwa hawara wa mheshimiwa nani atamtisha. Ila ana nyudo ni balaa!! Nyumba ndogo jamani kuweni wapole,.
Arusha wana ubabe wa kipuuzi sana matambo majivuno ujuaji na kiburi ya pesa ..pesa zako zako kwanini zisumbue wengine..waje dar kama ukiwa na milion vyako ..hutajulikana hata kata ya pili..ASKARI HUYU NI WA KUZAWADIWA KABISA..kutoa bunduki tuu ni nia ya mapambano ..unaongeza na kukoki? ..------mae ..
Mkuu namna ilivyosimuliwa katika kipindi cha Nipashe (Radio One) inaonekana huyo mama alijaribu kutoa silaha lakini hakutoa...
Katika harakati za kutishia kutoa silaha ndipo akapigwa risasi ya begani.
Nipashe wamesimulia kwa mujibu wa mashuhuda walioona kisanga kizima.
Sasa upi ni ukweli mkuu, huyo mwanamama alitoa silaha au alijaribu kutoa silaha?
Huyo mwanamke hana asili ya fedha na kazipata bila kuwa na asili nazo ndizo zinazomzuzua.
Alifikiri pesa ni kila kitu.
Teh teh teh....
Mabilionea wa Arusha bana...