Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Hii nimecopy toka Blog moja: kwani nami yalinikuta Makambako nikiwa safarini ambapo nilenda ATM kukawa hakuna pesa basi nikaingia benki NBC na kupanga foleni iliyokuwa ndefu. Wakati nakaribia akaja mama mmoja mweupe ambaye ali-anti-log (kukaa mbele yangu wakati hakuwepo) kumwuliza akasema eti aongei nami bali meneja

Mama mmoja amepigwa risasi na polisi kujeruhiwa vibaya maeneo ya mapato arusha.chanzo cha tukio hilo kinasema kwamba mama huyo alifika maeneo hayo na kupaki gari yake akitaka kuingia bank lakini akaambiwa eneo hilo halifai kupaki gari,Mama huyo alipaki gari na kuingia bank alipotoka alikuta gari lake limetolewa upepo na ndipo vurugu ilianzaa baina yake yeye na polisi.Vurugu ilipokuwa kubwa mama huyo aliwaambia polisi kwamba wasimtishie bunduki hata yeye anayo na alipotaka kuitoa polisi wakampiga risasi.Mama huyo ni muuzaji maarufu wa madini jijini arusha.Mama huyo amekimbizwa hospitali na yupo chumba cha upasuaji.CHANZO CLOUDS FM
 
Duh, kwa mara ya kwanza sijaona pointi ya kumponda askari huyo, wengi mmechukizwa na mmepongeza soja. Hii ntaiweka kwenye hansard zangu. Yaani JF kumsifia askari bila kumhusisha na CCM? This is new. Na huyo mwanamke lzm ana kesi ya kujibu na bunduki ndo ataisahau kuimiliki
Kwa corrupt system yetu... Huyo askari atakosa kazi na hata kufungwa na huyo mama atarusishiwa bunduki na kuendelea na dharau
 
Mwanamke ------- huyo!!! Wewe unajua askari ana silaha halafu unatoka na silaha unataka ukapambane naye?? Tena huyo askari hakufanya vema, angemtandika ya mguu auvunje kabia ili avae mguu wa bandia.

Angelivunja mguu askari angelikuwa hatarini kwani mwanamke alikoki maana yake aliingiza risasi katika sehemu inayoitwa chemba tayari kwa kuifyatua. Askari alikuwa na busara sana kumpiga mkono ili asidhuriwe na risasi. Katika mazingira ya aina hii ni rahisi sana mwanamke kuuwawa kwani katika kujihami chochote huweza kutokea hata kupigwa moyoni au kishwani na askari atabaki kuwa na haki.
 
mbona hii habari umeiandika kidefensive eti kwa uzembe wake,mmmnh am sure tukisikia upande wa pili(mwanamke) story itakuwa tofauti..mapolisi navyojua walivyo na nyodo,wakakutana na mwenzao full ma attutude....
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.
Tatizo la Arusha silaha zimezagaa sana mtaani na madhara yake yanaonekana. Vyombo husika inabidi vipitie upya Kanuni na sheria za kumiliki silaha...kuwe na sheria na adhabu Kali dhidi ya watumia hovyo silaha za moto na za baridi...haswa kwenye mikoa yenye takwimu kubwa za matukio ya kijangiri (watu na wanyama).
 
hahaha yani janamke kama hilo yaelekea apo kesi atahamishiwa mumewe...kwanini kamnunulia bastola bila kumfundisha shabaha za vichwa ,,lol
 
mbona hii habari umeiandika kidefensive eti kwa uzembe wake,mmmnh am sure tukisikia upande wa pili(mwanamke) story itakuwa tofauti..mapolisi navyojua walivyo na nyodo,wakakutana na mwenzao full ma attutude....
Hujasoma post za watu wengine nini?? Nao wanadefence nini?? Tokea nijiunge JF ndiyo mara ya kwanza askari kusifiwa kuwa ame act fairly!! Yaani karibu post zote zinaonyesha huyo mama hafai hata kwa kulumangia kwa kachumbari labda ifanyike ule mchezo wa kuaminisha watu nyeusi ni nyekundu!
 
Hana akili huyo mwanamke limbukeni, kwanza askari amemkosea haki angemlenga ya kichwa tu kwasababu ilikuwa ni self defense!!!!!!
 
Kama huyo mama angekufa basi tunge ambiwa kuwa Bilionea kafa. Mambo ya Arusha hayoo.
 
kama ndio huyo tenda ya magari ya juzi ya huu mkutano mkubwa ulofanyikia AICC yeye ndio alipata tenda ya kukodisha zile gari zote za ule mkutano, ana nyodo balaa viola, pole zake.

We unasema mkutano wa Arusha?Katika ujio wa Obama gari za kampuni ya Viola ndio zilitumika ktk kubeba baadhi ya vitu na wale askari wa ulinzi zaidi ya 800....nikaambiwa mmiliki yupo Arusha ni mama mwenye ukaribu na system....kaharibika
 
Kwa kiburi alichoonyesha wangemtandika risasi ya kichwa ili akafaidi mabilioni yake kule kuzimu. Ashukuru Mungu alikutana na askari mpole.

Life style ya Arusha ni ya kipekee
Labda ni bilionea
 
Kiburi cha pesa chafu, usomi uchwara, ... siku hizi umekithiri mno TZ.
 
nashkuru askari kwa kumkata ng'ebe alijifanya mjanja wa mjini kuleta Mazarauni kwene kaz za watu. Ni fundisho kwa ALWATANI wote wa hapa mjini. Over
 
Back
Top Bottom