Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mimi leo tu yamenikuta hapa mwanza. Nimeingia jana na ka duet na kuchukua chumba hotel moja maeneo ya Nyegezi. Leo jioni nikatoka na gari kutembea. Niliporudi nikakuta kuna noah hizi new model imepack getini kama inataka kuingia. Nikabaki nimesubiri nikadhani unaingia ndani kumbe hamna mtu. Kwa kuwa nilikuwa nimechoka, nikapaki gari yangu nje nikidhani kwamba pengine ni mteja anatafuta chumba. Nikaingia ndani kupumzika, saa tatu nikatoka nikakuta gari bado ipo. Nikawaambia walinzi wamtafute mhusika ili arudi nyuma aweke pembeni gari ili mimi nipack nilale. Kumbe hiyo gari ilikuwa ya mama mmoja anapata moja baridi moja moto. Walipomfuata mama alikuja juu kama mbogo aliyekoswa risasi mpaka nikaogopa. Nikawaambia wamwache, akitoka waje kuniita. Mpaka saa hizi bado nasubiri. Kwa hiyo hilo la arusha mi hata sishangai

...huyo atakuwa niwa Lugumi!

rafiki wa Riz1...!
 
Another mistake kwa polisi. Mtu amekutolea bastola wewe unampiga mkononi ili iwejee?? Mpige kifuani then mbambikie kesi huyo mwanamama alitaka kukushut wewe ukamuwahi. Siku zote sipendi kuona umeamua kumpiga mtu risasi then unamwacha awe hai.

Khaaaa!!!!
 
Ni mdada ambae hajulikani cz viola mchana sa8 nilimwona mahali anakula.huyo mdada anaitwa vailet matias
 
Huyo mwana mama nasikia anapenda sana kutumia kitu cha arusha,yaani masela wanasema akikosa atatafuta hadi nje ya mji!!
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kwa kujitakia mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya washindwe kutekeleza mpango wao ukizingatia siku hizi matukio ya wizi wa mabanki yameshamiri.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetolewa upepo aliuliza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Nasema na wale wanaokaidi amri halali ya polisi "WAPIGWE TU , TENA NASEMA WAPIGWE SANA"
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    11.7 KB · Views: 217
Mkuu namna ilivyosimuliwa katika kipindi cha Nipashe (Radio One) inaonekana huyo mama alijaribu kutoa silaha lakini hakutoa...

Katika harakati za kutishia kutoa silaha ndipo akapigwa risasi ya begani.

Nipashe wamesimulia kwa mujibu wa mashuhuda walioona kisanga kizima.

Sasa upi ni ukweli mkuu, huyo mwanamama alitoa silaha au alijaribu kutoa silaha?

Hata kama alikuwa anajaribu kutoa silaha madhali alishatamka kuwa anayo silaha na anataka kuitoa inabidi awahiwe kumalizwa nguvu kabla hajaitoa.

Apigwe tu!
 
C viola aliepigwa risasi n mdada mwingne bt kma vile police wanaficha wa2 kumjua.kuna ki2 hpo

16cdd642f8038787.jpg

Liberatius Sabas

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwenye chanzo chetu cha habari Arusha, zinasema mama mmoja amepigwa risasi na polisi akiwa benki. Mama huyo aliyetambulika kwa jina la Vailet Mathias, Taarifa hii inasema mama huyo alikuwa amepaki gari katika eneo ambalo haliruhusiwi wateja kupaki gari maeneo hayo, lakini alipoambiwa na askari hao ya kwamba hatakiwi kupaki gari hapo, yeye alikaidi amri hiyo na kuamua kupaki na kuingia zake benki.
Kwa kufanya kitendo hicho inasadikiwa polisi waliamua kutoa upepo kwenye gari lake na kuliacha hapo hapo, na baada ya mama huyo kumaliza shughuli zake ndani ya benki ile anatoka akakuta moja ya tairi lake kwenye gari haina upepo na kuhisi moja kwa moja hao askari ndio walitoa upepo, mama huyo alipandwa na hasira na kuamua kutoa Bstola yake huku akiwaambia wale polisi kama na nyie mnajidai mna bunduki na mi nina bastola, kwa kitendo hicho inasadikiwa polisi hao ndio mmoja wapo akaamua kumfyatulia risasi mama huyo maeneo karibu na bega.
Taarifa hii imethibitishwa kutokea na kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha Bwana Liberatius Sabas, kwa mujibu wa kamanda, mama huyo yupo katika chumba cha upasuaji kwa ajili ya uangalizi na kuweza kuitoa risasi hiyo. Taarifa za awali pia zinasema mama huyo ni mfanya biashara wa madini, na mtoa habari alisema mama huyo ata jana alifika katika benki hiyo na kukaidi hivyo hivyo na kuleta maneno ya kejeli kwa askari waliokuwa zamu siku hiyo.
Taarifa zaidi tutawaletea pindi tutakapozipata.
 
Ni graduate toka Mt. Meru University

Inasemakana ni small house ya mzee wa"nitakutafuta kokote uendako" na ni msomi kwa level ya diploma hapo mmu na amempatia mtoto dume huyo boss. Nadhani kiburi kimetokana na kuwa hawara wa mheshimiwa nani atamtisha. Ila ana nyudo ni balaa!! Nyumba ndogo jamani kuweni wapole,.
 
Habari za asubuhi bwana Sabas. Tunaomba uhakikishe kuwa askari wetu habugudhiwi na yuko salama.

"Hodihodi Seliani hospital. Violet Matias hujambo? Vipi umelalaje? wameshakutoa risasi? Nimekuletea uji utakunywa? Pole ndio ukubwa huo. kama wakishindwa kuitoa risasi tutamuomba daktari wakate tu mkono ili kuokoa maisha yako."

"Ugua pole, tukijaliwa tutakuja kukuona mchana"
 
Mkuu namna ilivyosimuliwa katika kipindi cha Nipashe (Radio One) inaonekana huyo mama alijaribu kutoa silaha lakini hakutoa...

Katika harakati za kutishia kutoa silaha ndipo akapigwa risasi ya begani.

Nipashe wamesimulia kwa mujibu wa mashuhuda walioona kisanga kizima.

Sasa upi ni ukweli mkuu, huyo mwanamama alitoa silaha au alijaribu kutoa silaha?

Ishaanza kubadilishwa, kesho tutaambiwa hakuwa na silaha, alikuwa anatoa simu awapigie breakdown kuja kulivuta gari!!!!!
 
16cdd642f8038787.jpg

Liberatius Sabas

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwenye chanzo chetu cha habari Arusha, zinasema mama mmoja amepigwa risasi na polisi akiwa benki. Mama huyo aliyetambulika kwa jina la Vailet Mathias, Taarifa hii inasema mama huyo alikuwa amepaki gari katika eneo ambalo haliruhusiwi wateja kupaki gari maeneo hayo, lakini alipoambiwa na askari hao ya kwamba hatakiwi kupaki gari hapo, yeye alikaidi amri hiyo na kuamua kupaki na kuingia zake benki.
Kwa kufanya kitendo hicho inasadikiwa polisi waliamua kutoa upepo kwenye gari lake na kuliacha hapo hapo, na baada ya mama huyo kumaliza shughuli zake ndani ya benki ile anatoka akakuta moja ya tairi lake kwenye gari haina upepo na kuhisi moja kwa moja hao askari ndio walitoa upepo, mama huyo alipandwa na hasira na kuamua kutoa Bstola yake huku akiwaambia wale polisi kama na nyie mnajidai mna bunduki na mi nina bastola, kwa kitendo hicho inasadikiwa polisi hao ndio mmoja wapo akaamua kumfyatulia risasi mama huyo maeneo karibu na bega.
Taarifa hii imethibitishwa kutokea na kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha Bwana Liberatius Sabas, kwa mujibu wa kamanda, mama huyo yupo katika chumba cha upasuaji kwa ajili ya uangalizi na kuweza kuitoa risasi hiyo. Taarifa za awali pia zinasema mama huyo ni mfanya biashara wa madini, na mtoa habari alisema mama huyo ata jana alifika katika benki hiyo na kukaidi hivyo hivyo na kuleta maneno ya kejeli kwa askari waliokuwa zamu siku hiyo.
Taarifa zaidi tutawaletea pindi tutakapozipata.

Huyo Mwanamke ni Bonge la Limbukeni kwani alizani kuwadindia Polisi ni sifa !tena amshukulu Mungu huyo polisi yupo makini pengine angekufa kabsa !hawezi kwenda sehemu na kukiuka sheria na taratibu zinazofuatwa na wengi kisha akatoa siraha huo ni Ushamba na kiburi cha kipumbavu .
 
Ishaanza kubadilishwa, kesho tutaambiwa hakuwa na silaha, alikuwa anatoa simu awapigie breakdown kuja kulivuta gari!!!!!

Hii Ndio Tz zaidi ya uijuavyo vyote vinawezekana kwani hata Polisi anaweza akageuziwa Kibao kisha akaonekana yeye ndie mwenye kosa wakati inasemekana huyo mwanamke Jana yake alikaidi amri na hapo alikuwa analudia tena kuwakejeri Polisi usije shangaa mambo yamekuwa kinyume kabsa na kuwashangaza wana JF wote Hili tukio laiti lingetokea Ulaya Nadhani sasa ingelikuwa ni Habari kubwa sana kwani ulaya kumtolea siraha polisi ni issue kubwa lakini Tz ni Kama kumwonyesha toi tu tusubili
Tuone
 
Habari za asubuhi bwana Sabas. Tunaomba uhakikishe kuwa askari wetu habugudhiwi na yuko salama.

"Hodihodi Seliani hospital. Violet Matias hujambo? Vipi umelalaje? wameshakutoa risasi? Nimekuletea uji utakunywa? Pole ndio ukubwa huo. kama wakishindwa kuitoa risasi tutamuomba daktari wakate tu mkono ili kuokoa maisha yako."

"Ugua pole, tukijaliwa tutakuja kukuona mchana"

Huyo mwanamke ni limbukeni katoka kwake kaenda kumfanyia fujo polisi amejitakia mwenyewe inaelekea Ana kiburi sana mwache augulie atajifunza
 
Habari za asubuhi bwana Sabas. Tunaomba uhakikishe kuwa askari wetu habugudhiwi na yuko salama.

"Hodihodi Seliani hospital. Violet Matias hujambo? Vipi umelalaje? wameshakutoa risasi? Nimekuletea uji utakunywa? Pole ndio ukubwa huo. kama wakishindwa kuitoa risasi tutamuomba daktari wakate tu mkono ili kuokoa maisha yako."

"Ugua pole, tukijaliwa tutakuja kukuona mchana"

Huyo mwanamke ni limbukeni katoka kwake kaenda kumfanyia fujo Askari Lindoni kwake kisha akataka asujudiwe mwache augulie ajifunze Adabu
 
Huyo mwanamke achunguzwe kiundani kwani inaelekea ana vichembe chembe vya Tabia za Alshababu hv
 
another mistake kwa polisi. Mtu amekutolea bastola wewe unampiga mkononi ili iwejee?? Mpige kifuani then mbambikie kesi huyo mwanamama alitaka kukushut wewe ukamuwahi. Siku zote sipendi kuona umeamua kumpiga mtu risasi then unamwacha awe hai.

nikweli mkuu nakuunga mkono mimi ningempa ya kichwa tu sema jamaa yupo ki un zaidi ambao ni upumbavu pia, mambo ya haki za binadamu kitu gani bwana!
 
Mh Kwa mara ya kwanza maoni yote yanakubaliana na nadhani hii iwe fundisho kwa wamiliki wengine wa silaha. Ya kwangu hata mke wangu hajui naiweka wapi ninapokuwa siitumii... Na mara nyingi huwa sitembei nayo maana ni kama mzigo fulani na hukosesha raha mara nyingine... natembea nayo tu pale ninapoona nitaihitaji kutokana na mazingira...
 
Back
Top Bottom