Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Duh, kwa mara ya kwanza sijaona pointi ya kumponda askari huyo, wengi mmechukizwa na mmepongeza soja. Hii ntaiweka kwenye hansard zangu. Yaani JF kumsifia askari bila kumhusisha na CCM? This is new. Na huyo mwanamke lzm ana kesi ya kujibu na bunduki ndo ataisahau kuimiliki

Ha ha haaa! nimecheka sana MKUU!
 
One-sided story.

Labda kama uwe ni ndugu yake lakini huyo mama watu wanamfahamu kwa nyodo zake na katika yaliyoelezwa hakuna lililotiwa chumvi. Sasa wewe inafikiri alipigwa risasi kwa sababu gani???
 
Mkuu namna ilivyosimuliwa katika kipindi cha Nipashe (Radio One) inaonekana huyo mama alijaribu kutoa silaha lakini hakutoa...

Katika harakati za kutishia kutoa silaha ndipo akapigwa risasi ya begani.

Nipashe wamesimulia kwa mujibu wa mashuhuda walioona kisanga kizima.

Sasa upi ni ukweli mkuu, huyo mwanamama alitoa silaha au alijaribu kutoa silaha?
 
Arusha wana ubabe wa kipuuzi sana matambo majivuno ujuaji na kiburi ya pesa ..pesa zako zako kwanini zisumbue wengine..waje dar kama ukiwa na milion vyako ..hutajulikana hata kata ya pili..ASKARI HUYU NI WA KUZAWADIWA KABISA..kutoa bunduki tuu ni nia ya mapambano ..unaongeza na kukoki? ..------mae ..
 
...apigwe tu,amezoea nasi tumechoka sasa...
 
Preta picha picha picha picha picha.,..pliiizzz
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa hyo mwanamke jina tunalifadhi ni hawara wa mkuu wa mkoa arusha bwana magesa mulongo ndie anampa kiburi kujifanya yupo juu ya sheria.. Na hyo mwanamke alimaliza elimu yake mount meru university arusha..

Manina sana huyu... kumbe vihela vyenyewe anavipata baada ya kukojolewa manii na yule njegele Mulongo afu anawaletea nyodo vijana wetu wamekaa juani kikazi...! wallah angepigwa ya kiuno wamsambaratishe pelvic girdles tuone jeuri yake. Na li Mulongo lilivyo msukule litaanza kumfuatilia huyo askari. Inabidi tumpe counter-task kamanda Lema kufuatilia hatma ya huyo askari... hayanaga akili majitu yale... inapofikia suala la "K" akili zote zinahamia chini yanaanza kutumia kichwa cha chini kufikiria..Kumbuka "kaka yao" alichoifanyia Nguza family kisa K ya Sinza. Damn...
 
Mkuu namna ilivyosimuliwa katika kipindi cha Nipashe (Radio One) inaonekana huyo mama alijaribu kutoa silaha lakini hakutoa...

Katika harakati za kutishia kutoa silaha ndipo akapigwa risasi ya begani.

Nipashe wamesimulia kwa mujibu wa mashuhuda walioona kisanga kizima.

Sasa upi ni ukweli mkuu, huyo mwanamama alitoa silaha au alijaribu kutoa silaha?

Mkuu "ukweli" ni kuwa kachapwa risasi na watu wanaonekana kufurahia kwa jinsi walivyomchoka. Afu anaonekana mdogo tu.. kama ni graduate wa Mt. Meru University.. au awe amesoma akiwa mmama..
 
Una undugu na huyo Mmama? Nakuheshimu ujue Kaka Mkubwa??

Wamama kama hawa ndo wanatushusia heshima tunaonekana wote tuko hivyo risasi ya kichwa ndo ilikuwa halali yake huyu.......manina zake
 
Mwanamke jangili alitaka kuiba au kuwajaribu, wangemwachia tu angfanya mbovu nyingi.

Hongera askari, ni private hao lazima.
 
Manina sana huyu... kumbe vihela vyenyewe anavipata baada ya kukojolewa manii na yule njegele Mulongo afu anawaletea nyodo vijana wetu wamekaa juani kikazi...! wallah angepigwa ya kiuno wamsambaratishe pelvic girdles tuone jeuri yake. Na li Mulongo lilivyo msukule litaanza kumfuatilia huyo askari. Inabidi tumpe counter-task kamanda Lema kufuatilia hatma ya huyo askari... hayanaga akili majitu yale... inapofikia suala la "K" akili zote zinahamia chini yanaanza kutumia kichwa cha chini kufikiria..Kumbuka "kaka yao" alichoifanyia Nguza family kisa K ya Sinza. Damn...

Umeua aisee safi san
 
Una undugu na huyo Mmama? Nakuheshimu ujue Kaka Mkubwa??

Wamama kama hawa ndo wanatushusia heshima tunaonekana wote tuko hivyo risasi ya kichwa ndo ilikuwa halali yake huyu.......manina zake

Kosa langu ni kuuliza kwa kuoanisha habari au kutoandika kile unachotaka kusoma?

Kwa muhtasari nimeweka chanzo kingine na kumuuliza Mzee wa Rula kama kuna ukweli wa hilo nililolisikia.
 
Mkuu "ukweli" ni kuwa kachapwa risasi na watu wanaonekana kufurahia kwa jinsi walivyomchoka. Afu anaonekana mdogo tu.. kama ni graduate wa Mt. Meru University.. au awe amesoma akiwa mmama..

Kwa sasa muombeeni tu huyo askari asijekutana na mikono ya maadui wa haki.

Nchi hii ina watu wenye kibri na wababe sana haswa kwa wanyonge wasio na mbavu.

Kwa upande mwingine huyo mama nadhani kuanzia sasa atakuwa kajifunza kuwa kuna watu halmashauri za vichwa vyao nazo zimepinda.
 
Another mistake kwa polisi. Mtu amekutolea bastola wewe unampiga mkononi ili iwejee?? Mpige kifuani then mbambikie kesi huyo mwanamama alitaka kukushut wewe ukamuwahi. Siku zote sipendi kuona umeamua kumpiga mtu risasi then unamwacha awe hai.
 
Hivi ndivyo inavyofundishwa au ndivyo unavyodhani?

Another mistake kwa polisi. Mtu amekutolea bastola wewe unampiga mkononi ili iwejee?? Mpige kifuani then mbambikie kesi huyo mwanamama alitaka kukushut wewe ukamuwahi. Siku zote sipendi kuona umeamua kumpiga mtu risasi then unamwacha awe hai.
 
C viola aliepigwa risasi n mdada mwingne bt kma vile police wanaficha wa2 kumjua.kuna ki2 hpo
 
Back
Top Bottom