macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,476
- 61,356
Nenda onana naye mengine utajua huko huko. Pengine aliombewa kanisani na mchungaji siku za karibuni akapewa unabii kuwa muda wa siku tano atakutana na mtu ambaye Mungu amempangia, amkubali. Au alitokea kuvutiwa na wewe na akaona asikose hiyo fursa. Au yeye yuko direct. Au anataka kusikiliza unachotaka kumwambia. Unakuwa kama kijana wa form two bwana. Ndiyo huwa wanakuwa wanafunzi wa mapenzi.Angenishangaa ..nilitegemea angeniwekea vizuizi kidogo,ili kidogo nihangaike