SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,018
- 1,051
- Thread starter
- #21
Lengo langu,,,Normal dating,,ya kutengeneza seriously relationship,,,Kwan adhma yako kwake ni nini?
Kwa sababu kama ni ngono mimi naona she's made it easier for you, kama ni normal dating amershisisha pia, kama ni kumtongoza amesema yupo available kwa ajili ya mtongozo, kukubaliwa is another case.
Mkuu, wewe unataka nini?
Kinachonishangaza naona kila ninachoomba kwake inakuwa haraka,,hata Siku Moja haijapita yangu amenipa namba