namba ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  2. P

    Bolt kwanini hamna namba ya huduma kwa wateja? Mtu una dharura kupata msaada mpaka usubiri majibu Instagram, kweli?

    Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini? Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
  3. Expensive life

    Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  4. M

    HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

    Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
  5. S

    Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

    Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira. Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
  6. Gentlemen_

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  7. Half american

    Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  8. Nyuki Mdogo

    Una namba ya simu ya nani ambaye hutakaa uisahau?

    Hii inatokana na umuhimu wa mtu huyo au watu hao kwako.. Mwenzenu toka mwaka 2004 nikiwa bado primary school, enzi hizo tunatumia simu za kukoroga (za Ttcl), kama hii pichani Mwenzenu hapa ndio niliweza kuiona namba ya simu ya Kaka yangu ambapo baba mdogo alikuwa akimpigia mara kwa mara...
  9. Ushimen

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  10. HabariTech

    Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  11. Melki the Storyteller

    Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

    Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani! Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano...
  12. chizcom

    Kuwa na namba ya simu iliyozoeleka ni mtihani kwa maisha haya

    Teknolojia ni nzuri na kwa mawasiliano haya ya simu, yamesaidia sana watu kuwa kama kijiji kimoja au familia moja. Ila swala la simu ila kimtazamo naona ni sawa na kufunga pingu pale unapo kuwa na namba ambayo umekaa nayo mda mrefu kwenye maisha yako. Namba hiyo unakuta ndio unatumia kipindi...
  13. Izrael k Adam

    Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  14. my name is my name

    Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  15. alcacer

    Kuna binti alinipa namba ya simu ila naona hatoi ushirikiano wa mawasiliano

    Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap! Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
  16. alcacer

    Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

    Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu. [emoji117] MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
  17. Twinawe

    Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

    Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni. Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa...
  18. Redpanther

    Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

    Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU? Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema ukweli halafu anakamwili fulani portable sana yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]. Nikawa...
  19. instagram

    Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa. Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
  20. Nyendo

    Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

    Habari wana MMU, Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa. Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima...
Back
Top Bottom