SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,018
- 1,052
Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....
Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..
Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??