Na mjeda umuachie nani?
Toka hapa!Sijui hata nilikua nataka kusema nini,uzee huu nao unakuja kwa kasi sana.
Kwani mtaalam wewe uliomba namba kwa madhumuni gani au ujaze phonebook yako tu?Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....
Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..
Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??
Bora dada wa watu ampotezee tu, ana gubu sana.Jamaa mlalamishi sana wewe!Strike the iron while hot.Supu ya mbwa hunywewa ya moto.Ngoja ngoja huumiza macho.Chelewachelewa utakuta sherehe imefinito.
Neno GUBU lifanyiwe lamination.Anaulizwa muda wa kukutana,anaanza kupangilia mambo mengine.Bure beleshi!Bora dada wa watu ampotezee tu, ana gubu sana.
Amechoka kukaa kwao.Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....
Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..
Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??
Wewe uliamua kulimarinate eti mlalamishi, hilo ni gubu🤣Neno GUBU lifanyiwe lamination.Anaulizwa muda wa kukutana,anaanza kupangilia mambo mengine.Bure beleshi!
Angezungushwazungushwa angekuja na uzi wa kumkamia wakikutana "club Raha Leo show"!Amechoka kukaa kwao.
Na ukitaka kuoa unaoa siku hiyo hiyo.
Nilijibiwa hivi. Hii ilimaanisha nini ?Kuepukana na huu ujinga,jibu ni Moja tu,,,,Sina simu na huku anaiona.
Nilimrembea mwandiko!Wewe uliamua kulimarinate eti mlalamishi, hilo ni gubu🤣
Na hata hajui anataka nini bure kabisa.
Hizi takataka zinazoombaga ombaga namba hovyo hazikosi cha kusema. Ukimnyima napo atatafuta tu cha kuongea.Kuepukana na huu ujinga,jibu ni Moja tu,,,,Sina simu na huku anaiona.
Kuepukana na usumbufu usio na maana,bila kupotezeana muda na interview za hapa na pale.Nilijibiwa hivi. Hii ilimaanisha nini ?
Sana,dawa ni Moja tu,Sina simu.ata kama anaiona.,,hakuna kupoteza muda eti nipe yako hapana.Hizi takataka zinazoombaga ombaga namba hovyo hazikosi cha kusema. Ukimnyima napo atatafuta tu cha kuongea.