HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,730
- 2,338
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho wala uhakiki.
Inakuwaje Taasisi nyeti kama hii inashindwa kuhakiki njia za mawasiliano yake ili kuwapa unafuu watumishi wanaotaka hiduma zao kwa haraka?
Viongozi wa tume hii hawalioni hili kweli,namba za simu na email hizo hapo hazifanyi kazi kwa mida mrefu sana na wao wametulia tu huku wakipokea mishahara yao kuwa wako kazini.