Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,696
Wapo ambao hawasumbui kabisa na wana doo ndefu!Mke akikuzidi kipato hapo Umeolewaa na atakunyanyasaa sanaaa...yani mnoo!![emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo ambao hawasumbui kabisa na wana doo ndefu!Mke akikuzidi kipato hapo Umeolewaa na atakunyanyasaa sanaaa...yani mnoo!![emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini ndio watutesa waafrika!Wazungu mbona awana tatizo ilo au kwakuwa wamelelewa kwenye Good life awachanganyikiwi wakipata kaz nzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ta 100 ni mmoja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu na pia huyo mmoja ukutr mumewe mtu wa kupotezea na kazoeaa.. Yani huwa wana majibu ya hovyoo balaaa unaweza piga mpaka ukauaa.. Yani unaweza kuwa umemsadia mwanamke miaka 10 pesa za kila kitu leo ukafukuzwa kazi mwezi mmoja tu hizo dharau na maneno ya shombo achaa tuu...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wapo ambao hawasumbui kabisa na wana doo ndefu!
Nawashaurigi vijana kuoa sio mchezo, wapo waliosema kuoa mke wa kawaida ni kujitakia ila tunaoangalia future tense wacha tuoe wa kawaida tu.Wazuri hawaolewi na makapuku.. ikiwa una pesa za kutosha oa mzuri ila kama kajamba nani oa/olewa na demu wa kawaida yaan sio mzuri saaana wala mbaya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kizur kama kujitambua na kujua tabia yako na kuweza kujiexpress vzuri . Nalea watoto coz nmewazaa mm na kazini naenda naleta kipato ila mwanaume shart anizidi simple sikulazmishi unioe au unitolee mahali upoo we mtu mweusiKama hutaki kumzidi kipato tulia ulee watoto tu.
Ila kwa comment yako mie kama mwanaume hata kama nilikuwa na mpango wa kuja kulipa mahari na cancel. Kwa level hii ya ufikiri hapana!
Inabidi usafiri ghafla ukasake doo ukirudi mambo yametulia ingawa wahuni lazma watakuchapia ukiwa haupo ila no sweat!Kati ta 100 ni mmoja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu na pia huyo mmoja ukutr mumewe mtu wa kupotezea na kazoeaa.. Yani huwa wana majibu ya hovyoo balaaa unaweza piga mpaka ukauaa.. Yani unaweza kuwa umemsadia mwanamke miaka 10 pesa za kila kitu leo ukafukuzwa kazi mwezi mmoja tu hizo dharau na maneno ya shombo achaa tuu...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ikitokea jamaa yako akaugua kwa miaka kadhaa akasimama shughuli! Mfano tu ukawa we ndio una hela ya ku run family utamuacha au kumnyanyasa kwa sababu umemzidi?Hakuna kitu kizur kama kujitambua na kujua tabia yako na kuweza kujiexpress vzuri . Nalea watoto coz nmewazaa mm na kazini naenda naleta kipato ila mwanaume shart anizidi simple sikulazmishi unioe au unitolee mahali upoo we mtu mweusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuugua ,kuachishwa kazi hzo ni case study nyngne ambazo hazihusiani na content ya mada rudi juu usome upyaSasa ikitokea jamaa yako akaugua kwa miaka kadhaa akasimama shughuli! Mfano tu ukawa we ndio una hela ya ku run family utamuacha au kumnyanyasa kwa sababu umemzidi?
FactNawashaurigi vijana kuoa sio mchezo, wapo waliosema kuoa mke wa kawaida ni kujitakia ila tunaoangalia future tense wacha tuoe wa kawaida tu.
Hivi unategemea kidume uwe na mwanamke kama "Shidua" na life analoishi ghafla umefulia hivi unadhani kitachotokea ni nini?
Hebu jiulize una mke kama officiallyn mnaishi kiasasa halafu ghafla inatokea mipunga imekata maana pesa ni kama maua huchanua na kunyauka!
Nakubaliana na babu kwa yote ila napenda kuongezea kitu.SIKILIZA DANGALANA...
WANAWAKE WA AINA HII USIOE MWANANGU...
1. MWENYE KIPATO KIKUBWA KUKUZIDI
2. MWENYE ELIMU KUBWA ZAIDI YAKO
3. MZURI SANA WA KUSHANGAZA MTAA/MJI/JIJI AU TAIFA...
UKIZINGATIA HAYO UTAISHI ANGALAU KWA FURAHA KUBWA SANA..
USIA HUU ULITOLEWA NA MAREHEMU BABU TUKIWA LILONGWE, MALAWI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kuvunjika. Ikumbukwe mwanamke usumbufu anauleta akiwa na options za ku survive bila mume! Mama zetu zamani walikomaa ndoani maana kulikuwa na sheria kali kwa wazazi na pia ugumu wa maisha.
Walikufanyaje boss kazi strongestbeliefsecret ebu tumegee siri! Maana mie hao much know siwataki kabisaMimi nimeshakutana sana na changamoto za hao mabinti wenye ajira, elimu za juu, au walioumbika vizuri saaana kiasi hata nikipita nao mitaani hushangiliwa na vijana kwa jinsi nilivyobahatika kuopoa vimwana.
Yaliyonikuta sitaki hata kusimulia maana naweza kupatwa hata na presha nikikumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri uje kuulizwa amna adhabu nyingine zaidi ya kuigonga pua 😁😁😁😁😁Ni kweli wanawake kwa asili ni mwenye ubinafsi,kiburi na majivuno.wengi wao wakipata cheo,pesa lazima asumbue ila siku zote bado nasema tatizo bado linaanzia kwetu wanaume kwasababu wakati anaanza kunyanyua pua tunawaona ila hatuwadhibiti tunawaacha tu uku tumetekwa na kile kinaitwa upendo au hadhi ya familia tunasahau majukumu yetu kama vichwa vya nyumba.Na hili nyumba ikamilike lazima kuwe na upendo,heshima na nidhamu.Sasa unakuta mama anaanza kiburi hadi kinakomaa unaangalia tu kikishakua sugu ndo unaanza kulalamika.Kama kweli unampenda mkeo na unajua wajibu wako kama mume huwezi kumsubiri akafika uko.Inatakiwa akichomoza tu pua uigonge mapema airudishe chini.
Uwe una contribute vya maana pia, sio unazungusha kiuno tu maana nawewe utakuwa considered zigo!
You are matured indeed!Conclusion;
Mwanamke kumzidi mume kipato au kutokumzidi mume kipato haipelekei kuvunjika kwa ndoa labda kuwepo na sababu nyinginezo za msingi !
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntatembea na huu ushauri!Wanawake wengi ambao walikuwalia katika umaskini wakasoma na kujikuta wamepata kazi nzuri au fursa ya kipesa ndo wanahizo tabia, maana hata ndoa wanaolewa kutokana na uzuri wao na siyo tabia zao. lakini ukikuta mwanamke kwao walikuwa wanaishi maisha fulani mazuri kidogo au sana hawana papara. Ogopa kuoa mwanamke kisa anaumbo zuri atakutesa sana maana anajua uzaifu wako uliofanya ukampenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akijalia Mrs. atakuwa na hio kitu this December.Mbona tupo wengi wenye CPA (T) tumeolewa na ndoa zetu ziko vizuri zina maelewano mazuri!
Ndoa zetu zinaheshimiwa na watu wote na malazi yake yako safi!
[emoji3][emoji3][emoji3]
After all kuwa na CPA mbona siyo ishu sana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema naona we umebalance majukumu ya ofisi na home. Ukiweza kubalance majukumu inakuwa poa sana.Mbona tupo wengi wenye CPA (T) tumeolewa na ndoa zetu ziko vizuri zina maelewano mazuri!
Ndoa zetu zinaheshimiwa na watu wote na malazi yake yako safi!
[emoji3][emoji3][emoji3]
After all kuwa na CPA mbona siyo ishu sana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli, mie kama nilimkuta anaeleimu daraja la cheti. Atabaki na cheti chake hivyo higyo...sifanyi ujinga wa kusomesha. Hawa viumbe wanaakili ndogo sana kama kuku. Kuku ukimwekea mchele tu kwenge ngo atatamaninapatue parue..ndio akili yao hawa neugu zetu. Mie kama nilimkuta na diploma yake hivyo hivyo sipeleki mtu chuo na nitafanya niwezalo asiende level nyingine. Maana najua akinizidi sijui awe na masters qlfu mie nina degree pekee yake..sitaki mdandamizo wa Akili
Sent using Jamii Forums mobile app
100Yupo jamaa yangu aliondolewa kwenye sakata la vyeti feki, kabla ya hapo alikuwa kwenye shirika la umma mjini na cheo kinono tu, yeye na mke wake ukiwaona ungeweza kufikiri wametongozana jana tu, mapenzi motomoto, walifanikiwa kupata mtoto mmoja.
Baada ya sekeseke, mke akaanza kuzisimamia biashara zote, hii ni kutokana na jamaa yangu kuvurugwa kisaikolojia na kukosa utulivu wa nafsi. Nilimuuliza kama ataweza kuweka aibu pembeni tufanye kazi ya udalali ambayo mimi ni mzoefu, akauliza vipi ikitokea mteja au muuzaji ni mtu tunaefahamiana, hapana siwezi. Nikamwambia, ikitokea hivyo hiyo kazi utaihamisha kwangu, na wewe utalamba kamisheni kama tufanyavyo kwenye michongo mingine, akakataa. Nikamwambia, chukua muda kuikubali hali yako kuwa sasa wewe si yule afsa mnene tena na huwezi kuwa yule afsa mnene, ila unaweza kuwa mnene kupitia fursa nyingine, ukijikubali.
Alichoamua jamaa ni kwenda kukaa kwenye moja ya maduka yao na kuuza, huku akisimamiwa na mkewe. Ndani ya mwaka mmoja mke akaona mume hana ramani tena, hela anayoingiza jamaa ni ile ya dukani pekee, hana tena safari za kikazi, warsha wala semina. Mke akaanza visa wakitaka waachane, maana jamaa ilifika kipindi mke siku zile za kushika ujauzito anavaa jinsi taiti na hagusiki.
Nikamuuliza bado unampenda mkeo, akajibu ndio.
Nikamwambia muage mkeo unasafiri kwenda mkoani kwa mwezi mmoja, uje ukae kijiweni kwangu, kweli, hapa niseme kitu, ukiamua kumsaidia mtu, msaidie tu, hata kama unajua kile atakachopata kinaweza kisivuke matarajio yake, lakini wewe msaidie.
Nikaanza kuzunguka na jamaa yangu kwenye michongo yangu yote ya udalali, ikawa wakati mwingine, nikitoka ofisini, namuacha jamaa akipokea wateja na kuwapeleka kwenye maeneo ambayo nilishampitisha iwe ni chumba, nyumba, kiwanja, shamba, magari, fremu, office appartment, masoko ya mazao n.k baada ya wiki tatu nikamwambia hiki ulichopata mtumie mkeo mwambie akaongeze mtaji wa dukani.
Kwa mara ya kwanza usiku wa siku hiyo jamaa akapokea simu kutoka kwa mke wake wakaongea kwa furaha baada ya wiki tatu za ukimya. Jamaa akaamini kuwa udalali ni kazi akawa ananishauri baadhi ya mambo ili kuboresha, na kweli tukaona vitu vina imarika bila kutumia nguvu nyingi kama zamani.
Ikatokea akanishauri tufungue kampuni flani hivi mwaka jana, mtaji ulikuwa ni mdogo tu, lakini jamaa yangu alisimama kikamilifu mpaka hivi ninavyokwambia kampuni inaendelea kuimarika na kile kinachopatikana kama faida tunagawana, ndoa yake imenusurika, na furaha imerudi kama zamani.
Alitumbuliwa 2017, 2018 akawa dalali, 2019 ni mkurugenzi wa kampuni yetu...Ndimi dalali.