Mwanamke akikuzidi kipato lazima ndoa ivunjike

Mwanamke akikuzidi kipato lazima ndoa ivunjike

Ni kweli wanawake kwa asili ni mwenye ubinafsi,kiburi na majivuno.wengi wao wakipata cheo,pesa lazima asumbue ila siku zote bado nasema tatizo bado linaanzia kwetu wanaume kwasababu wakati anaanza kunyanyua pua tunawaona ila hatuwadhibiti tunawaacha tu uku tumetekwa na kile kinaitwa upendo au hadhi ya familia tunasahau majukumu yetu kama vichwa vya nyumba.Na hili nyumba ikamilike lazima kuwe na upendo,heshima na nidhamu.Sasa unakuta mama anaanza kiburi hadi kinakomaa unaangalia tu kikishakua sugu ndo unaanza kulalamika.Kama kweli unampenda mkeo na unajua wajibu wako kama mume huwezi kumsubiri akafika uko.Inatakiwa akichomoza tu pua uigonge mapema airudishe chini.
Agiza supu bora kabisa ya samaki popote pale ulipo nitakulipia maana umenena vyema sana Mzee Baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi ambao walikuwalia katika umaskini wakasoma na kujikuta wamepata kazi nzuri au fursa ya kipesa ndo wanahizo tabia, maana hata ndoa wanaolewa kutokana na uzuri wao na siyo tabia zao. lakini ukikuta mwanamke kwao walikuwa wanaishi maisha fulani mazuri kidogo au sana hawana papara. Ogopa kuoa mwanamke kisa anaumbo zuri atakutesa sana maana anajua uzaifu wako uliofanya ukampenda
Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae wakatalakiana hawa ni wachache tu ninawowafahamu na kabla walikuwa wananipa motisha ili nikioa niwe Kama walivyo coz niliwaona wanapendana .

Wakwanza ni mwalimu wangu mkuu wa O level ,huyu nikiwa form one 2009 alipokea madam mbichi kabisa ...fresh from University kipindi kile mzee kikwete alikuwa anamwaga ajira Kama njugu sio Kama awamu ya tano...(maendeleo Haina chama ) baadae mwalimu mgeni /madam akapangiwa kufundisha history f1 kusema ukweli mwanzo nilikuwa simwelewi anachofundisha sio kwamba hajui kufundisha... la asha anajua vizuri lkn jinsi alivyoumbika madam ana umbo namba nane ikabid Mimi nimfaidi umbo tu Kuona anavyotingisha akiandika ubaoni duuuuu kipindi hicho full utoto .kumbe mwl mkuu kapenda madam na kutokana na kulikuwa na walimu wengin vijanq ikabidi mkuu afanye faster ndani mwez sita ndoa tayari mkuu kavuta mtto walipendana Sana kila sehemu wapo pairs ,tatizo kimetokea mwaka Jana baadae ya mwl wg mkuu kutolewa ukuu wa shule coz ana diploma na madam kuwa mkuu wa shule kwa miezi mitatu na kupandishwa kutoka mkuu wa shule hadi afisa elimu taluma/msaidizi ....kumbuka madam ni mkali kiumbo na kisura alichofanya madam sijui kaomba kuamishwa /au kanishwa tu tuko nae jiji la makonda mume wake walitalakiana baada ya kushushwa cheo na yeye kupanda.


Wa pili ni ndg yg wa karibu yeye alikuwa kwenye ajira bahati mbaya vyeti feki kamtoa mke kabaki juzi wametalakian mke anamuita mzigo ...mke alianza kuingiza madume ndani ikabid njamaa ampige chini japokuw mke anafrah baada ya kupew talaka .


Kuna bext wg alikubalian na mke wake ..mke aende ongeze elimu bahati nzuri mke baada ya kumaliza Masters akapandishwa sio kwamba alikuwa na master pke yk hapan waliangalia v2 vigi pamojaja na yy kaanzia certificate hadi Masters ..jui jamaa kaenda mahakamni kuhusu talaka na ofisi ni moja cjui watafanyaje kazi.

Wapo wengi wengi Sana kwa kusamarise hawa wanawake wasikuzidi kipato ikitokea uwe na uvumulivu was Ali ya just ...Baba yg aliwai kuniambi "Mwanangu usioe mwanamke anaekuzidi kipato "alikuwa na maanake ,kwa niliyo yaona na binavyozidi kuyaona sitaoa mwanamke anaenizidizidi kipato nitapigana Hadi nimpite tunayoyaona ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ujue kuwa wao ndo wanaongoza kuweka data za mambo yao ya kijamii, India, China, Uarabu nk hawana time ya data za ndoa
Pole sana kaka, naomba uingie sasa hivi ktk google udownload ni bara/nchi/eneo lipi linaongoza kwa kuwa na talaka nyingi sana za ndoa na kuongoza kufunga kwa ndoa za mikataba?

Usipojibiwa kule Western Countries/Ulaya na USA/Marekani, rudi hapa na ushahidi wa screenshots zako za kutosha kabisa unidai fidia ya 10,000/= ya usumbufu.

Nadhani utakuwa ushamuelewa mtoa mada vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shuhuda zote mbili ninazo, tena ni nyingi coz kazi ya kusuluhisha ndoa nimeifanya sana tena sana. Mbaya zaidi naweza kukaa na mwanamke dakika tano tuu akafunguka yote ya moyoni!! Wanawake wanabeba mengi mazito na wapo wapo tu, ila siku akiotea pa kukuchapa anakuchapa haswa bila huruma. Yaan hii ni from the horse's mouth!

Nilichogundua kwa nini ndoa zinavunjika mwanamke akipata kipato wengi ni VISASI kutokana na jinsi tunavyoishi nao!

Kipato chako hajui, anakufumania kila leo, pombe na wewe familia huna muda nayo, akiwa na shida unamsimanga kwanza then unampa suluhisho, manyanyaso mengi mengi yanayochangiwa na mfumo dume.

Hapo hata kama ni wewe ukija kupata kipato lazima ulipe kisasi na kusepa zako!! Maana hayakuwa mapenzi!!

Pili: Wapo wenye wake wenye vipato vikubwa na ndoa ni za amani sana. Kwa sababu aliweka misingi imara ya mapenzi yao. Unachokipata onyesha consideration hata kama usimuonheshe kipato chote kwa mkeo, kaa nae muweke mipango mwambie hiki ndo ninacho, mpende kwa kumuonyesha, toka kazini kaa nae jua haja zake na familia, nenda kwenye pombe utamuona ana amani kabisa, mtimizie mahitaji kama mume bila manyanyaso au masimango, penda familia kwanza, onyesha juhudi za kujali kufanikiwa kwake!! Akivunja ndoa huyo alikuwa chizi na si mke!!

Wanawake wengi niliowahi kuongea nao kwa nini wanakimbia waume zao majibu yao yalikuwa ni hayo hapo! Ukisikia mwanamke anakwambia nakaa tu sababu ya watoto au sababu sina kazi ogopa sana mtu huyo. Na ndoa zetu nyingi zimefikia hapo na wanaume hatujali tunakuja kupigia kelele matokeo ya mwanamke kujikoboa!!
Bonge la uchambuzi boss!!!!!
 
Gepu k
Mkuu wewe hilo tu mimi wa kwangu sasa yupo masters na akimaliza anampango wa PhD wakati mimi ni standard seven ila nafanya biashara zangu. Ahahhaahah
Gepu kubwa sana ,sasa mnaongeaje kwenye issue ya level ya maongezi????
 
Kabisa. Mkuu. Type ya kina mama samia ni chache sana. Na wanazidi kupotea wanawake wa aina hiyo.
Ni kumuomb sana Mungu upate wako.
Hawa waliobaki akikupita hata ufaulu.. kiburi kinakuwa juu kama vile dunia ninyake.
Ukishaona dalili kama hizo kwa mpenz wako.. tupa pemben mapema.. maana hawa ndio wale ukifulia anakusema vibaya na hata kutoka na mwanaume mwingine.
Aina ya akina Mama Samia wale kwenye wanawake 1,000,000/= unaweza ukabahatisha mmoja pekee na awe ana hofu sana ya Mungu huku akitambua mipaka ya kuwajibika kwake ktk ndoa/familia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta ushahidi kwa takwimu halisi za utofauti wao hao Wake wasio na vipato ktk viwango baina ya waliowazidi Waume zao vipato na wasiowazidi vipato Waume zao ni wapi wanaoongoza zaidi?

Ili tumalize mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app

ea3cb6dd-d7f4-45ab-9829-8870ade801fd.jpg


Angalia takwimu za talaka ziliko juu halafu longanisha na hoja iliyopo ktk mjadala!

Kifupi ni kuwa wanawake wa mwambao wa Pwani wengi hawajasoma na hivyo kukosa kipato, lakini ndiko ambako kiwango cha talaka Kiko juu!

Hapo tuna hold other things remain the same!

Karibu!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiombe yakukute I can't imagine kama tungekuwa tunatongozwa na wanawake shughuli tungekuwa nayo.
 
View attachment 1036189

Angalia takwimu za talaka ziliko juu halafu longanisha na hoja iliyopo ktk mjadala!

Kifupi ni kuwa wanawake wa mwambao wa Pwani wengi hawajasoma na hivyo kukosa kipato, lakini ndiko ambako kiwango cha talaka Kiko juu!

Hapo tuna hold other things remain the same!

Karibu!



Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo jnc nilivyokutuma hivi? Basi kaa hivyo hivyo tu na huo mtizamo wako.

Kwangu naamini na nitaendelea na lifestyle kama niliyowakuta nayo Wazazi wangu, na ni marufuku kuiga mapenzi ya kisasa na ya tamthilia za kikorea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom