Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
Duh, we unasema tu mkuu. Kuna wengine asee hawakuelewi kabisa.Ni ukweli, mie kama nilimkuta anaeleimu daraja la cheti. Atabaki na cheti chake hivyo higyo...sifanyi ujinga wa kusomesha. Hawa viumbe wanaakili ndogo sana kama kuku. Kuku ukimwekea mchele tu kwenge ngo atatamaninapatue parue..ndio akili yao hawa neugu zetu. Mie kama nilimkuta na diploma yake hivyo hivyo sipeleki mtu chuo na nitafanya niwezalo asiende level nyingine. Maana najua akinizidi sijui awe na masters qlfu mie nina degree pekee yake..sitaki mdandamizo wa Akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa hyo nimuache huyu ambaye ana mpango akimaliza degree aende masters? [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Aisee. Mapenzi na uvumilivu upo lakini?Mkuu wewe hilo tu mimi wa kwangu sasa yupo masters na akimaliza anampango wa PhD wakati mimi ni standard seven ila nafanya biashara zangu. Ahahhaahah
Aiseee mi ni mwanamke ila sipend kumzd mume wangu kipato na siombei itokee Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Bashe ndiye anakula mzigoMfano mwingine ni mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa (jina hili kakatazwa kulitumia). Sasa hv anajiita madam Bonnah.
Alikuwa akiishi vizuri sana na mumewe kabla hajawa mbunge (alipokuwa mwalimu wa sekondari). Alipopata ubunge, ndani ya miaka 2 tu akafumaniwa mara 3 kule Dodoma. Hivi tunavyoongea Bonnah ameachika anadanga na jina la Kaluwa (ex hubby wake) amekatazwa kulitumia

Kwahiyo wazuri wasiolewe mkuu .SIKILIZA DANGALANA...
WANAWAKE WA AINA HII USIOE MWANANGU...
1. MWENYE KIPATO KIKUBWA KUKUZIDI
2. MWENYE ELIMU KUBWA ZAIDI YAKO
3. MZURI SANA WA KUSHANGAZA MTAA/MJI/JIJI AU TAIFA...
UKIZINGATIA HAYO UTAISHI ANGALAU KWA FURAHA KUBWA SANA..
USIA HUU ULITOLEWA NA MAREHEMU BABU TUKIWA LILONGWE, MALAWI
Sent using Jamii Forums mobile app