Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,446
Why do you limit yourself that much?Aiseee mi ni mwanamke ila sipend kumzd mume wangu kipato na siombei itokee Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app

ujumbe umefika thanks!Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae wakatalakiana hawa ni wachache tu ninawowafahamu na kabla walikuwa wananipa motisha ili nikioa niwe Kama walivyo coz niliwaona wanapendana .
Wakwanza ni mwalimu wangu mkuu wa O level ,huyu nikiwa form one 2009 alipokea madam mbichi kabisa ...fresh from University kipindi kile mzee kikwete alikuwa anamwaga ajira Kama njugu sio Kama awamu ya tano...(maendeleo Haina chama ) baadae mwalimu mgeni /madam akapangiwa kufundisha history f1 kusema ukweli mwanzo nilikuwa simwelewi anachofundisha sio kwamba hajui kufundisha... la asha anajua vizuri lkn jinsi alivyoumbika madam ana umbo namba nane ikabid Mimi nimfaidi umbo tu Kuona anavyotingisha akiandika ubaoni duuuuu kipindi hicho full utoto .kumbe mwl mkuu kapenda madam na kutokana na kulikuwa na walimu wengin vijanq ikabidi mkuu afanye faster ndani mwez sita ndoa tayari mkuu kavuta mtto walipendana Sana kila sehemu wapo pairs ,tatizo kimetokea mwaka Jana baadae ya mwl wg mkuu kutolewa ukuu wa shule coz ana diploma na madam kuwa mkuu wa shule kwa miezi mitatu na kupandishwa kutoka mkuu wa shule hadi afisa elimu taluma/msaidizi ....kumbuka madam ni mkali kiumbo na kisura alichofanya madam sijui kaomba kuamishwa /au kanishwa tu tuko nae jiji la makonda mume wake walitalakiana baada ya kushushwa cheo na yeye kupanda.
Wa pili ni ndg yg wa karibu yeye alikuwa kwenye ajira bahati mbaya vyeti feki kamtoa mke kabaki juzi wametalakian mke anamuita mzigo ...mke alianza kuingiza madume ndani ikabid njamaa ampige chini japokuw mke anafrah baada ya kupew talaka .
Kuna bext wg alikubalian na mke wake ..mke aende ongeze elimu bahati nzuri mke baada ya kumaliza Masters akapandishwa sio kwamba alikuwa na master pke yk hapan waliangalia v2 vigi pamojaja na yy kaanzia certificate hadi Masters ..jui jamaa kaenda mahakamni kuhusu talaka na ofisi ni moja cjui watafanyaje kazi.
Wapo wengi wengi Sana kwa kusamarise hawa wanawake wasikuzidi kipato ikitokea uwe na uvumulivu was Ali ya just ...Baba yg aliwai kuniambi "Mwanangu usioe mwanamke anaekuzidi kipato "alikuwa na maanake ,kwa niliyo yaona na binavyozidi kuyaona sitaoa mwanamke anaenizidizidi kipato nitapigana Hadi nimpite tunayoyaona ni aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae wakatalakiana hawa ni wachache tu ninawowafahamu na kabla walikuwa wananipa motisha ili nikioa niwe Kama walivyo coz niliwaona wanapendana .

U said it all. Thank u.Shuhuda zote mbili ninazo, tena ni nyingi coz kazi ya kusuluhisha ndoa nimeifanya sana tena sana. Mbaya zaidi naweza kukaa na mwanamke dakika tano tuu akafunguka yote ya moyoni!! Wanawake wanabeba mengi mazito na wapo wapo tu, ila siku akiotea pa kukuchapa anakuchapa haswa bila huruma. Yaan hii ni from the horse's mouth!
Nilichogundua kwa nini ndoa zinavunjika mwanamke akipata kipato wengi ni VISASI kutokana na jinsi tunavyoishi nao!
Kipato chako hajui, anakufumania kila leo, pombe na wewe familia huna muda nayo, akiwa na shida unamsimanga kwanza then unampa suluhisho, manyanyaso mengi mengi yanayochangiwa na mfumo dume.
Hapo hata kama ni wewe ukija kupata kipato lazima ulipe kisasi na kusepa zako!! Maana hayakuwa mapenzi!!
Pili: Wapo wenye wake wenye vipato vikubwa na ndoa ni za amani sana. Kwa sababu aliweka misingi imara ya mapenzi yao. Unachokipata onyesha consideration hata kama usimuonheshe kipato chote kwa mkeo, kaa nae muweke mipango mwambie hiki ndo ninacho, mpende kwa kumuonyesha, toka kazini kaa nae jua haja zake na familia, nenda kwenye pombe utamuona ana amani kabisa, mtimizie mahitaji kama mume bila manyanyaso au masimango, penda familia kwanza, onyesha juhudi za kujali kufanikiwa kwake!! Akivunja ndoa huyo alikuwa chizi na si mke!!
Wanawake wengi niliowahi kuongea nao kwa nini wanakimbia waume zao majibu yao yalikuwa ni hayo hapo! Ukisikia mwanamke anakwambia nakaa tu sababu ya watoto au sababu sina kazi ogopa sana mtu huyo. Na ndoa zetu nyingi zimefikia hapo na wanaume hatujali tunakuja kupigia kelele matokeo ya mwanamke kujikoboa!!
Huo mfumo dume ndiyo walioutumia Baba na Babu zetu hatimaye walienjoy sana maisha kuliko sisi tunaotumia mifumo ya mapenzi ya kuiga iga kwenye sinema au vedeo.Wajaluo mna shida sana kwa mambo zanu za mfumo dume...[emoji53] [emoji53]
View attachment 1032163
Ushmen asipozimia akishamaliza kusoma huu ujumbe wako, nikumbushe tafadhali sana Chifu.Mfano mwingine ni mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa (jina hili kakatazwa kulitumia). Sasa hv anajiita madam Bonnah.
Alikuwa akiishi vizuri sana na mumewe kabla hajawa mbunge (alipokuwa mwalimu wa sekondari). Alipopata ubunge, ndani ya miaka 2 tu akafumaniwa mara 3 kule Dodoma. Hivi tunavyoongea Bonnah ameachika anadanga na jina la Kaluwa (ex hubby wake) amekatazwa kulitumia
Aisee. Ndio walivyo hawa watu. Huwa hawachelewi.
Kama huyo bona. Angetulia kamamama samia yasingemkuta hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kushangaa unakosekanaje ktk huu uzi nakati wewe ndiye mtetezi mkuu wa dawati la haki za jinsia za Wanawake na Watoto[emoji848]Ni sawa tu na mwanaume akiwa kapuku anajifanya kukupenda ila akishazishika basi hamna namba utaacha kusoma. Tofauti ni kwamba wanawake huwa wanabaki humo ndani tu wakigugumia sababu ya watoto hawavunji ndoa zao.
Na wanaume wana inferiority complex, ukishqmzidi kitu tu basi visirani na kujistukia kwingi, kuishi nae kunahitaji moyo wa chuma. Hata ukimkosea kibinadamu tu anaona ni kwasababu tu umemzidi kipato.
Wanaume ishini na wake zenu kwa akili nao watawatii na hakutokuwa na shida.
MTAZAMO MZURI, LAKINI KUNA WANAWAKE WANAZAA WATOTO KAMA UTITILI NA WANAISHI NA WANAUME WASIO NA KIPATO KIZURI. KUNA MWANAMKE AMEMPELEKA MUME WAKE KUSOMA, ANA MIMBA YA PILI SAA HIZI, YEYE NI POLISI JAMAA AMEISHIA FORM 4 TU LAKINI WANAISHI, ONCE BEFORE ALIMFUNGULIA BIASHARA YA STATIONARY NA SASA KAMPELEKA CHUO AKASOME!
WANAWAKE KAMA UNA UWEZO HAUNA MUME NA UMEMUONA JAMAA ANASOMEKA ILA TATIZO PESA MPIGANIE TU! MAFANIKIO YANAKUJA BAADA YA KUTOA KAFARA, USIKATISHWE TAMAA NA EXPERIENCE ZA WENGINE!
wanaume mjue kabisa tunapenda mtuzidi kila kitu lakin ndio hivyo tena vice versa hutokea mtuombee tu hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu mbona awana tatizo ilo au kwakuwa wamelelewa kwenye Good life awachanganyikiwi wakipata kaz nzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuolewa au kuoa sio sawa na kununua gari unaweza kuliuza au kujenga nyumba unaweza kuibomoa ukajenga tena hivyo tuchague wenzi wetu kwa umakini. Kingine kuolewa kuoa ni sawa na kucheza kamari au karata unaweza kuokota garasa tumuombe Mungu tupate wenzi wema. Wenye ndoa waimarishe mahusiano yao.