Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,431
- 191,696
Hahah upo sahihi mkuu, ila kwa utashi wa mapenzi wanawake wavivu ndio wanajua sana mapenzi! Mie sihitaji mke mvivu wa kunivulia chupi tu ambaye hana mipango thabiti ya maisha!Tusioe kwa kufuata class za wanawake, tuongozwe na utashi wa kimapenzi.
Kuna watu humu ukiwauliza wana mwaka hawajapikiwa na wake zao wala kufuriwa wala kunyooshewa nguo, na tendo la ndoa la mgao kama Tanesco mpaka anapojisikia mwanamke, ndoa za aina hii ni za kazi gani? Ndio sababu tatizo la stroke linaongezeka mioyo ya wanaume wengi ina majeraha ya ndani kwa ndani watu hawasemi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app