Tanganyika jeki
JF-Expert Member
- Jun 12, 2011
- 243
- 87
Labda nisahihishwe. Pengo si mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania. Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania ndiye mwenye dhamana kwa hili. Why Pengo Mwanakijiji?
Kweli kabisa, hii ni kwa sababu watawala hawajali kabisa kuuzima moshi hivo ni bora kuomba msaada pahala pengine ili mambo yawe sawia.The Boss usemayo ni kweli lakini angalia upande wa pili wao huwa wanakimbilia wapi.............angalia roles za viongozi wa Kikristo na zile za viongozi wa waislamu, utagundua kwanini Mwanakijiji kasema vile
Labda nisahihishwe. Pengo si mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania. Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania ndiye mwenye dhamana kwa hili. Why Pengo Mwanakijiji?
Mwanakijiji si mwanasiasa hivyo haihitaji kujipendekeza kwa jamii yoyote.
Mkuu unasema "kukimbilia kwa kiongozi wa dini kuomba muongozo kwa matatizo ya kitaifa ndiyo udini wenyewe" na wakati matatizo hayo unayaita "uzembe wa kisiasa wa wanasiasa",na pia ukasema "serikali hii ni dhaifu",halafu hapo hapo unamlaumu Mwanakijiji kwa kumtaka Pengo atoe msimamo na kuitaka serikali hiyo dhaifu ifuatilie hao magaidi?Kwanza kabisa nalaani kwa nguvu yote mauaji ya Padri huko Zanzibar ningependa kuona hatua kali zinachukuliwa kwa wahusika bila huruma yeyote wala mizengwe ya aina yeyote......
Sasa turejee kwenye mada....
Ni kawaida watu wenye UDINI kuwa watu wa kwanza kulalamikia UDINI wa wengine na wao wenyewe kuwa 'vipofu' kabisa na udini wao
hata kama Udini wao upo waziwzi.....
Sasa nafahamu heshima aliyonayo Mzee Mwanakijiji kwa wana JF na wengine kiasi kwamba hata anapokosea huoni watu wakimkosoa kabisa......
Hii thread ya Mwanakijiji akimtaka Kardinali Pengo ajiuzulu au achukue hatua ni thread iliyojaa hisia za UDINI na thread HATARI mno kwa Taifa Na Kwa mtu kama Mwanakijiji kuja na thread hii hapa ni jambo la kushangaza mno.....
Ukiwa MTAIFA basi kila tatizi la nchi unaloliona uta demand action kutoka kwa viongozi wa kitaifa kamwe huwezi demand action kutoka kwa viongozi wa DINI hasa DINI yako......
Kuuwawa kwa Padri Zanzibar hakuhitaji action za Pengo ,Kunahitaji actions za Viongozi wenye UTAIFA Na wanaojali UTAIFA kwanza,Pengo hata awe na busara za aina gani ni kiongozi wa DINI ,na UHALALI wa Pengo unaishia kwa wafuasi wa dini yake tu......hata kama viongozi wa KITAIFA hawafanyi wanayotakiwa kufanya, bado Pengo Hawezi ku Play role ya Kiongozi wa Taifa hasa kwenye vurugu za kidini kama hizi...
Pengo yuko sahihi kuwa kimya na kusubiri,kuliko kukimbilia kutoa kauli zinazo weza leta MAAFA ZAIDI, hasa kama mpaka sasa hatuna uhakika waliomuua huyo Padri wana malengo gani haswaa?
What if malengo yao ilikuwa ni kuwa Provoke WAKATOLIKI ili walipize visasi na nchi ivurugike?
Huwezi kusikia Jenerali Ulimwengu akimuomba Pengo aingilie kati,unajua why? sababu anajua ni makosa kwa watu kukimbilia kwa viongozi wao wa dini kuomba muongozo kwa matatizo ya 'uzembe wa kisiasa na wanasiasa'.....
uhalifu na vurugu zinazojitokeza ni zao la serikali dhaifu,sasa kila mtu akianza kuomba muongozo wa Viongozi wa DINI yake,unafikiri hii nchi itakalika?
Ukosefu wa busara kwa viongozi wa serikali hauwezi kuzibwa na busara za viongozi wa dini, viongozi wa dini watabaki kuwa viongozi wa dini,wakitetea maslahi ya dini zao na wafuasi wao... leo kwa WAKATOLIKI utasema Pengo achukue hatua,kesho akiuwawa msabato?
akiuwawa Imam wa Shia je?je kukitokea mauaji ya Mashia,wakuawa huko Zanzibar labda na waislam wa Sunni? Pengo atakuwa relevant?...
BADO KAMA TAIFA TUNAWEZA KUTAFUTA 'BUSARA YA KUTUPATANISHA' NA KUWASHUGULIKIA 'WAHUNI' WOOTE BILA KILA MTU KUKIMBILIA KWA KIONGOZI WAKE WA DINI, KUKIMBILIA KWA VIONGOZI WA DINI KUOMBA MUONGOZO KWA MATATIZO YA KITAIFA NDIO UDINI WENYEWE.
Kwanza kabisa nalaani kwa nguvu yote mauaji ya Padri huko Zanzibar ningependa kuona hatua kali zinachukuliwa kwa wahusika bila huruma yeyote wala mizengwe ya aina yeyote......

The Boss, tatizo ni kwamba hao viongozi wa upande wa pili wanatoa instructions ambazo zimekuwa zikiwagharimu Wakristo. We as Christians we want our leaders to do the same
Mwanakijiji ni mwasiasa wa Chadema.
Hicho ndo Pengo alichokuwa anasema kila mara
sasa Mwanakijiji anataka ajiuzulu au atoe kauli nyingine kali
kwangu mimi huu ni UDINI wa waziwazi.....
Huhitaji kauli ya kiongozi wako wa dini,kama unajua nini maana ya utaifa
kwenye tatizo la kitaifa
Umefanya kosa kubwa sana kuongelea maneno ya mwanakijiji bila kuya quote wengine hatujui pa kuyapata ili tuweze kumhukumu. Kutokana na upungufu huo niacheni nidai tu hapa yawezekana mwanakijiji anamtaka Pengo aseme kitu ili kutuliza hali ya joto isipande kwa waumini wake. Viongozi wa dini wanasikilizwa sana kuliko mtu yoyote katika jamii kuliko hata raisi wa nchi.