Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
yani unataka tuendelee kupritendi kuwa hili jambo ni dogo!!
Of course, kukimbilia conclusion kwamba waislamu wanahusika ni kulikuza. tuache vyombo husika vifanye kazi yake kubaini nani wanahusika, kama wataendeleza usanii wao kama walivyozoea tutajua na nafasi pekee tuliyonayo wananchi namna ya kuzuia uzembe wa namna hii ni kupitia maamuzi ya kisiasa lakini tunapokimbilia kutoa maamuzi ya kitaalamu namna hii kwa hisia tunakuwa tunakosea.