Mkuu The boss viongozi wanasema tutawachukulia hatua, kwenye thread yangu nmesema watawala wawajibike, tuna hitaji kupewa taarifa ya kinachoendelea na kama taifa tunahitaji kuona mtu anawajibishwa kwa uzembe huu
hapo kwenye red nafikiri ndilo jambo la muhimu na ndio na mimi ninapopingana na The Boss na wanaounga mkono hojaPolice case ni ngonjera za kupumbaza jamii.
Ina maana huoni yote yafanywayo na Police dhidi ya raia? Tumeyaona ya Iringa na tumeyaona ya Madaktari, bado unashauri watu waende police?
Acha kujaza watu hofu, Udini unazidi kukua na kushika kasi...umesahau kauli ya Wassira huko Mwanza?
Unakataza waumini wasiende kwa viongozi wao wa kidini kuomba miongozo, je ulitaka waende wapi? Kama ni serikali..unaiongelea serikali ipi? Tusikariri wajibu wa serikali bali tutambue uwezo wa serikali iliyopo.
If we are destined to vurugu, then let that one be...si kwa kushambulia walio kinyume na imani yetu, bali kwa kuwatafuta wahuni hawa wachache watumiao mwamvuli wa dini....na ni lazima viongozi watoe kauli mapema sana kuliko kusubiri hisia zigeuke kuwa imani na ukweli vichwani mwa wengi.
Police case ni ngonjera za kupumbaza jamii.

Ni bora kuitisha maandamano ya waislam na wakristo pamoja kulaani haya
kuliko mtu kukimbilia kwa kiongozi wa dini yake
Kwanza nani anauthibitisho kwamba haya mauaji yamefanyika kutokana na msukumo wa kidini? Au kwa vile kauwawa kiongozi wa dini?
Wewe unaita 'ku tame' christians
wakati hata waislam wanapopigana,mfano kesi za viwanja za BAKWATA'
wenye busara husema haya haya....
watu wajiepushe na kukimbilia viongozi wao wa dini na kuwachukulia wote wasio wa dini zao ni maadui...
police case ibaki police case,wote tushirikiane 'wahalifu' washughulikiwe'
Boss hudhani pia kutokaana na tension iliyopo sasa mtaani viongozi wakristo wakisimama na kutuomba tuwe wavumilivu kipindi hiki wakati serikali inafanya jitihada za kuwakamata waatuhumiwa?
The Boss hizi 'busara' zako ndizo zimekuwa zikitumiwa na wakristu kwa miaka mingi sana naona 'busara' hizi ndizo zinazoendeleza matukio ya kichokonozi kama haya ya mauaji.
sijaelewa mantiki ya thread yako kwani umeshakiri uongozi wa kitaifa ni dhaifu halafu hapohapo unataka tuwaache washughulikie suala hili-WAMESHINDWA NA HAWATAWEZA!
njia nyingine ipi hiyo?tuwe wakweli!Mantiki iko hivi
kama viongozi wa serikali wameshindwa,hakuna njia nyingine?
hatuwezi wote waislam na wakristo tusiopenda vurugu tukashirikiana kutatua hili?
Mkristo akikimbilia kwa Pengo?na Muislam asiependa vurugu akimbilie wapi?
Hicho ndo Pengo alichokuwa anasema kila mara
sasa Mwanakijiji anataka ajiuzulu au atoe kauli nyingine kali
kwangu mimi huu ni UDINI wa waziwazi.....
Huhitaji kauli ya kiongozi wako wa dini,kama unajua nini maana ya utaifa
kwenye tatizo la kitaifa