uhalifu na vurugu zinazojitokeza ni zao la serikali dhaifu,sasa kila mtu akianza kuomba muongozo wa Viongozi wa DINI yake,unafikiri hii nchi itakalika?
Ni ukweli ulio dhahiri kwamba nchi haina serikali, inajiongoza yenyewe. Na kama kuna serikali basi ni hiyo dhaifu uliyoitaja
The Boss, na kwa uelewa wangu serikali dhaifu katu haiwezi kuchukua hatua.
Hebu tujikumbushe matukio ya huko nyuma halafu tuseme ni hatua gani zilichukuliwa na serikali. Yalichomwa maduka ya wakristo huko Zanzibar, zikachomwa bar na bucha za nguruwe, bucha zikachomwa pia Songea, wakaanza kuchoma makanisa huko Zanzibar, wakachoma makanisa mbagala, wakafanya jaribio lakumuua kwa risasi father Ambrose, wakaua mchungaji huko Geita na sasa wameua Padri huko Zanzibar.
The boss, unaweza kutaja hata mtu mmoja aliyeshitakiwa au kufungwa kutokana na matukio haya? Baada ya kuchomwa kwa makanisa Mbagala tulitarajia wale wahuni wote walioshiriki katika uchomaji ule wangekamatwa na kushitakiwa, cha ajabu ukisoma mashitaka yanayomkabili shehe Ponda si ya uchomaji wa makanisa bali ni ya uchochezi uliopelekea uvamizi wa kiwanja cha Manji kule Chang'ombe. Yaliyofanywa dhidi ya wakristo yameachwa yaendelee. Vyombo vya habari vya kiislam na mihadhara inayoendeshwa ya kuwashambulia na kuwakashifu wakristo vimeachwa viendelee.
Shehe Ilunga hivi sasa amewatangazia waislam wawaue viongozi wa wakristo. UShahidi wa video upo, hajawahi kukamatwa. Sasa wakristo waende wapi kwa mtizamo wako? Maana hiyo serikali dhaifu ina polisi wa kukamata na kuwaua waandamanaji wa chadema lakini haina polisi wa kuwakamata kuwashitaki waislam wanaochochea vita nchini.
Unafikiri wakristo wafanye nini? Je waendelee kuvumilia kuona viongozi wao wakiuawa tena kwa maagizo ya shehe wao ambayo yapo dhahiri hadi kwenye youtube na hachukuliwi hatua? Unadhani uvumilivu wa wakristo utakuwa na matunda gani bora katika miaka mitatu ilyobakia ya utawala dhaifu uliopo madarakani? Sioni msaada wowote unaoweza kutolewa na viongozi wa serikali wasio na hata tone la hekima wala busara ya kuongoza nchi.
Yafaa turudi kwa viongozi wetu wa dini tuwatake nao watoe matamko sawasawa na hayo yanayotolewa na akina shehe Illunga.
Enzi za Petro rudisha upanga wako alani, nafikiri zifike mwisho sasa.