Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Status
Not open for further replies.
zomba, ushahidi tosha wa kuwa padre huyu kauwawa na waislam upo katika clip ya Ustaadhi Ilunga alipokuwa akizungumzia mauaji ya Sheikh Rogo wa Mombasa. Kwa maneno yake mwenyewe anawaambia waislamu kuwa akiuwawa Sheikh mmoja wamwue askofu, au kadinali au mlei mmoja. Na aliwaambia waanze mana hata sheikh ponda atauliwa siku za karibuni! Ajabu ni kwamba Ustaadh Ilunga hadi sasa anatanua mitaani. Ushahidi wa pili ni ukweli kwamba waliomwua huyu Padre ndio wale wale waliompiga risasi Padre Ambrose! Kwa stail ile ile. Maana yake wanafadhiliwa na viongozi wa kiislamu na kukingwa na mkono wa dola ulioko chini ya waislamu. Ajabu, ama kwa makusudi, au kwa kukosa elimu, waislam hao hao wamekuwa wakilia na mfumo Kristo, ambao unaongozwa na waislamu! Na huwa nashangaa sana huyu mungu wa waislamu anayetetewa na watu namna hii! Amekuwa dhaifu kiasi hicho?

Hayo ni yako wewe, unaweza kuwa hata wewe umemuuwa, pengine alikuwa akiifanya ile kazi maarufu ya wachungaji na sasa unajidai Sheikh Ilunga.

Ooh, kumbe kuna Masheikh waliuliwa Mombasa? Na nani? Na wewe ulikemea au ulifurahia?
 
Wewe unaita 'ku tame' christians
wakati hata waislam wanapopigana,mfano kesi za viwanja za BAKWATA'
wenye busara husema haya haya....
watu wajiepushe na kukimbilia viongozi wao wa dini na kuwachukulia wote wasio wa dini zao ni maadui...
police case ibaki police case,wote tushirikiane 'wahalifu' washughulikiwe'

The boss ulishawahi kwenda police wewe za kiTZ kweli?
Kewa taarifa yako huko hakuna usaidizi wowote ni maneno tu police zetu.
 
Kwanza hawa wanasiasa hasa wa CCM ndio wanaootesha hizi mbegu za udini wakitegemea kujiimarisha kisiasa.Unakuta jambo baya limefanywa na mtu au kikundi (liwe la kisiasa au kijamii), Badala ya kulitatua kwanza kama dola, tena kwa busara..wanaanza kuhoji kwamba hawa watakuwa ni CUF au CHADEMA.The way they handle this matter create more problems.

nARUDIA KUSEMA TENA SERIKALI HII YA CCM ndiyo inayotengeneza na kupromoti UDINI, UKANDA, UKABILA.Halafu cha ajabu wanataka viongozi wa dini wawasaidie,wakipita kwenye kampeni wanawatumia pia viongozi wa kimila kwenye kampeni zao.

Napingana na wewe kabisa.

Kwni mambo haya yalipanswa zamani sana na viongozi wenu na sasa ndio yanakalibia mavuno. Wengi wameyasemea lakin mlikuwa vipofu sasa ndo mnakalibia kuona.

Poleni sana

Nadhani kibaya hapa ni kwa yeyote kutaka upande mmoja tu wa dini fulani useme kitu..
Lakini kama viongozi wa dini wa madhehebu yote wataamua kukutana na kujadili hizi tofauti zao, bila shaka wanaweza kufikia mwisho mwema utakaoleta amani ya kudumu kwa wa-Zanzibar ama watu wa eneo lingine la nchi yetu..

Ikiwa serikali ni dhaifu, na sisi wote tumelifahamu hilo, si vibaya kwa viongozi wa dini zote kukutana na kutengeneza forum ya majadiliano chanya juu ya kadhaa hii. Ninaamini viongozi wa dini, kila moja kwa nafasi yake, wana nguvu na ushawishi mkubwa juu ya watu wa dini zao na maneno yao yanaweza yakazima kabisa uwezekano wa kutokea tena mauaji ya namna hii.
 
attachment.php
attachment.php
 
Hayo ni yako wewe, unaweza kuwa hata wewe umemuuwa, pengine alikuwa akiifanya ile kazi maarufu ya wachungaji na sasa unajidai Sheikh Ilunga.

Ooh, kumbe kuna Masheikh waliuliwa Mombasa? Na nani? Na wewe ulikemea au ulifurahia?

Hayawezi kuwa yangu! Ni ya Ustaadhi Ilunga and Co! Ukiniuliza nani aliyemwua sheikh wa Kenya u r just missing the point. Upinga kwamba Ustaadhi Ilunga hajasema hayo? Unabisha kwamba magaidi wa kiislamu waliofadhiliwa na uislamu hawajafanya mauaji hayo? Sheikh wa Kenya aliyeuawa alikuwa akiwaita Al Shabab ndugu na marafiki zake. Huyo anatetewa na masheikh wa kitanzania. What logic can be derived from there? Mwenye akili na afahamu. And by the way, kama kwa nadharia yako Padri Mushi anaweza kuuliwa na mtu yeyote, basi hatuwezi kurule out kuwa ameuwawa na magaidi wa kiislamu
 
Serikali isimamie KATIBA iliyopo. Serikali yetu isimamie sheria zilizopo. Waliopo madarakani sasa wameshindwa kusimamia hayo mawili. Waondoke madarakani wawapishe watu wengine kuliko kukimbilia kwenye Tv kuonyesha "masikitiko" yao. Tumechoka na hizi kauli: "Rais amekasirika sana, Rais amechukia sana, Rais ameagiza Polisi na vyombo vingine vya dola vifanye hiki na kile".

Hatuwezi kuwa na viongozi wa nchi hodari wa kuhudhuria misiba, mabaraza ya Eid, makongamano, semina elekezi,..., tunataka Rais atamke hadharani kuwa haya mambo sasa basi. Na iwe hivo kweli. Wachochezi na waandaji wa mambo wanajulikana.
 
Watuw engi wanafikiri -kwa kusoma vibaya theolojia - Yesu alikuwa anapenda watu wadhulumiwe au wafanywe duni. Mgongano wake na watawala wa zama zake (viongozi wa serikali na wale wa kidini) ulitokana na yeye kutovumilia dhulma. Au ukandamizaji. Jinsi ambavyo aliwtetea maskini (mama mjane) na hata matajiri (Zakayo) kulitokana na yeye kutambua kuwa wote ni wana wa Mungu.

Lakini kuna vitu ambavyo hakuweza kuvivumilia kwa kuitisha vikao, kutoa matamko ya kubembeleza. Mojawapo ni ni lile la kuingia Hekaluni. Alipokuta watu wamegeuza hekalu kuwa soko hakuitisha kikao, wala kuhubiri.. alifanya hivyo huku akiwatimua watu hekaluni na hivyo kuwaudhi watawala na kuchochea hasira dhidi yake.

Askofu Mkuu Pengo NI LAZIMA atoe kauli iliyo wazi dhidi ya utawala wa CCM na jinsi walivyofikisha taifa hapa. Haya ya kuremburiana na watawala na kujifunika kitanda kimoja nao ndio yamelifikisha taifa hapa.

Mzee Mwanakijiji niliweka input yangu jana kwa tahadhari kubwa sana kuwa yours are always philosophical na kuwa ili ueleke mtu akusomaye anatakiwa awe na appraoch ambayo iko contextualiased. Kidogo nimekulewa lakini utekelezaji wa wito wako ndio unakuwa mgumu sana kutegemea na muda tukio lilipotokea na wito wako. Isingekuwa busara kama Karidinali Pengo angekuja mojamoja na tamko. Pili sipingi Kiongozi huyu kutoa tamko huenda atatoa kesho au kesho kutwa lakini tatizo lilikuwa ni timing maana hakuna mahali iliposemekana kuwa hatatoa tamko. Lakini Karidinali Pengo ni kiongozi wa Kanisa wa kipekee Tanzania ambaye amekuwa akitoa tamko kupitia majukwaa mbalimbali na amekuwa hamungunyi maneno ili kutafuta urafiki na wanasiasa kama tulivyoshuhudia viongozi wengine wakifanya. Yeye kwakwe imekuwa spade is a spade. Hivyo kumweka katika kundi la wasiosema chochote ati kwa sababu ukipigwa shavu la kushoto geuza la kulia si kweli. Akiwa anaishi kufatana na theolojia ua uvumilivu na kutokulipiza kisasi bado amekuwa ni mkweli na kusema ukweli pengine face to face. Mifano ni mingi lakini itoshe kutoa michache-Kauli kuhusu matamko ya Kanisa kupelekwa kwa serikali kabla ya kuyatoa ilikuwa ni kwenye Misa ya mazishi ya Askofu Mkuu Mwanza, Tamko kwa serkali ya rais Mwinyi kuhusu mihadhara ya kashifa, kauli ya kumjibu Rais Kikwete kuwa viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya bila kuwataja na sehemu ya kusema ikawa ni siku ya kuwekwa wakfu Askofu wa Kikatholiki huko Songea.

Kwa hiyo tumpe nafasi kama ni kauli atatoa. Lakini kulikuwa na angalizo kuwa the authority to give remarks is vested kwa Rais wa TEC ambaye kwa sasa ni Askofu wa Iringa. Huyu ndiye Mkuu wa Kanisa Katholiki Tanzania. Kwa hiyo wakati mwingine Karidinali Pengo akitoa tamko huwa analitoa kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam linalounganisha Dar es Salaa, Tanga, Mtwara na Lindi na Zanzibar. Ni mara chache kauli yake inakuwa ni ya Tanzania nzima. Hivyo kufuatia matukio haya yanayotishia amani huenda Rais TEC akaja kutoa tamko la Kanisa Katoliki TANZANIA na dunia yote italichukulia hivyo.
 
Unajua nimerudi na kusoma nilichoandika na kukuta hakuna cha kubadilisha. Sijui ni kwanini baadhi ya watu wamefikiria nimesema aitishe kisasi! Na inaonekana watu wengi ambao wanakuja juu hawajasoma kwanini nimemtaja Oscar Romero.. wangechukua muda wangeona kuwa hii si mara ya kwanza kwa mimi kuitisha wachungaji/mapadre kufuata nyayo za Oscar Romero badala ya kukaa na kuenjoy sadaka za waumini na kulala kitanda kimoja na watawala...

Naona huoni jinsi ulivyo 'blind' hapa.....
'UNABII' wa Pengo na Romero ni unabii wa kwa waumini tu kama wewe
sio watanzania wote wanao muona Pengo au hata huyo Romero kwa jicho hilo unalo waona wewe
lakini Watanzania hao wakawa 'wanakerwa kutoka moyoni' na mauaji ya Padri na vurugu za kidini nchini...

Pengo ni 'the wrong guy' kusuluhisha tatizo hili
unless useme hautaki aingilie kati kusuluhisha?

Hapa ishu ni Watanzania ambao sio wakatoliki na sio wadini unawaweka wapi ukianza kumuomba Pengo aingilie kati?
 
Hayawezi kuwa yangu! Ni ya Ustaadhi Ilunga and Co! Ukiniuliza nani aliyemwua sheikh wa Kenya u r just missing the point. Upinga kwamba Ustaadhi Ilunga hajasema hayo? Unabisha kwamba magaidi wa kiislamu waliofadhiliwa na uislamu hawajafanya mauaji hayo? Sheikh wa Kenya aliyeuawa alikuwa akiwaita Al Shabab ndugu na marafiki zake. Huyo anatetewa na masheikh wa kitanzania. What logic can be derived from there? Mwenye akili na afahamu. And by the way, kama kwa nadharia yako Padri Mushi anaweza kuuliwa na mtu yeyote, basi hatuwezi kurule out kuwa ameuwawa na magaidi wa kiislamu

Wewe ndiye uliyeleta ya Kenya mimi nimekujibu tu, usitake kurusha.

What is the point? mtu kauliwa, kunaweza kuwa na sababu lukuki za mtu kuuliwa na kwa uchache wakake nimezitaja huko juu. Wewe unaongelea Sheikh Ilunga mbona huongelei hili:

"I will destroy ... both man and beast."
God is angry. He decides to destroy all humans, beasts, creeping things, fowls, and "all flesh wherein there is breath of life." He plans to drown them all. 6:7, 17

Kwa mafundisho hayo na mengi mengi kama hayo ndani ya bibilia, mnaweza kuuwa nyinyi mkasingizia watu, kwanu hamjulikani?

Mungu mwenye hasira na anaeuwa hovyo na ni mafundisho yako matakatifu, kwanini isiwe ni wewe na umeyafata leo unataka kusema Ilunga? hata haya huoni?

Ngoja serikali ifanye kazi yao.
 
The Boss na Mwanakijiji wote kapu moja.

Angalau tu niseme umejitahidi kuweka mambo sawa.

Lkn hili la mauaji Zanzibar -sijaona tangu Rais, Waziri Mkuu, Mabo ya Nje, na IGP na wengineo ambao wanamwelekeo chanya wa kufikia kumaliza tatizo hilo.

Sababu ni kuwa tayari badala ya kaucha akili huru ichunguze na kuja na sababu ya matukio haya na wahusika na nia yao, kila mmoja anajikita kunyoosha kidole kwa waislam kama kwamba wamekwisha chunguza na kupata ushahidi. Huu ni OPOFU katika masuala nyeti ya kiusalama kama haya.

Let us be constuctive and objective rather than tuned to be subjective as such. Unapotanguliza kunyoosha kidole kabla ya uchunguzi maana yake ni kuziba uoni huru na sahihi na hatimaye kulazimisha akili kukubali kuwa kuna kundi la dini ndo linafanya hivi, ili iweje? kama kundi hilo lipo, mbona hawajashughulikiwa? Wanaogopwa? Basi kaeni kimya. Usala wa taifana polisi kazi yao mojawapo ni kutafuta habari za chini kwa chini na kudhibiti matukio -yaani mipango inayopangwa isitokee, iharibiwe mapema kwa wahusika kukamtwa.

Bila kujiekeza kwa uhuru wa akili tutaishia kuwakama wasiohusika kila siku na kuwaacha waliojificha kuendelea kufanya kazi za kchukiza. Mbona polisi wanakuwa wanachunguza saaana na kuja na taarifa za kiintelijensia kuwazuia waislam wasiandame kuwa taarifa hizo zinaonesha kutakuwa na ghasia? Vipi hapa wanashindwa kupata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna makundi yanapanga kuua mapdri zeni?

Imani zetu za kidini isiwe kikwazo kufikia usalama na amani halisi ya nchi. Tuamke sasa, kila tukio tulione kwanza kwa jinsi yake na majibu yatakuja baada ya uchunguzi wa kitaalam na huru si hisia za kidini ambazo zimekuwa zinatawala chunguzi nyingi hapa nchini.
 
zomba, ushahidi tosha wa kuwa padre huyu kauwawa na waislam upo katika clip ya Ustaadhi Ilunga alipokuwa akizungumzia mauaji ya Sheikh Rogo wa Mombasa. Kwa maneno yake mwenyewe anawaambia waislamu kuwa akiuwawa Sheikh mmoja wamwue askofu, au kadinali au mlei mmoja. Na aliwaambia waanze mana hata sheikh ponda atauliwa siku za karibuni! Ajabu ni kwamba Ustaadh Ilunga hadi sasa anatanua mitaani. Ushahidi wa pili ni ukweli kwamba waliomwua huyu Padre ndio wale wale waliompiga risasi Padre Ambrose! Kwa stail ile ile. Maana yake wanafadhiliwa na viongozi wa kiislamu na kukingwa na mkono wa dola ulioko chini ya waislamu. Ajabu, ama kwa makusudi, au kwa kukosa elimu, waislam hao hao wamekuwa wakilia na mfumo Kristo, ambao unaongozwa na waislamu! Na huwa nashangaa sana huyu mungu wa waislamu anayetetewa na watu namna hii! Amekuwa dhaifu kiasi hicho?

Hivi ukiongea uongo na kujenga fitina itakusaidia nini? kwa nini unapotosha aliyosema Ilunga? mimi hiyo clip nimeiona mwanzo mpaka mwisho hakuna mahala amesema hayo! alichowaambia waislamu wa Mombasa ni kwamba hawana haja ya kuchoma matairi na kufanya maandamano au fujo pindi akiuliwa Shekh! badala yake nao wamuue Kiongozi yoyote ili Serikali nayo iache kuua Mashehe! jino kwa jino!

Sasa hapa TZ ni shehe gani aliyeuwawa ili kuhalalisha mauaji ya Mapadri na Wachungaji? naishauri Serikali kutumia busara kubwa ili iweze kutatua fitina hii inayopandikizwa nchini kwa hivi sasa!

Iraki na Congo(Zaire) kuna vita vinaendelea huko lakini Marekani na Washirika wake wanaendelea kujichotea mafuta na shahabu! TZ tuna mafuta na gesi sasa tusije ingia mtego walioingia wenzetu tukaanza kuchinjana Muislamu na Mkristo halafu wao wachote tu!
 
Makubwa haya ya WildCard.

Hivi katika dunia hii umewahi kusikia nchi ambako mauaji kama haya hayatokei? Au ndo tayari unamtazamo hasi na viongozi walipo kwa hiyo kila kitu ni hovyo? Ukiwa mkweli utaishi maisha ya raha msitarehe kwani utaona mamboyanavyokwenda duniani na kisha unarudi hata TZ. Hakuna jipya hapa TZ nje na utaratibu wa dunia nzima. USA mtoto anaua watoto wachanga/wadogo zaidi ya 30 mbona hatujakusikia ukisema ni uongozi mbovu? Au ndo udini wenyewe? Tuwe huru, tutataua tatizo, kinyume chake, tuchajichanganya tu.

Rais si wa kutoa matamko kwa issue kama hii, kuna wahusika. Akisema sasa basi, then, atakwenda yeye kuwalinda watu? Si wewe na mimi ndo tunakaa nao na pengine tunawajua, umechukua hatua gani hata angalau kukomesha hata wizi wa mtaani kwenu? Ukiwa na rais wa matamko, ujue huyo si rais hata kidogo.

Ikiwa wachochezi na waandaaji wa mambo wanajulikana kama unavyodai, mbona usaidii kuwatia mbaroni wakajibu kwa mujibu wa sheria, acha ufala na utoto. Tunataka jamvi lenye kutatua matatizo si kuigiza kama unavyotaka tuamini. Mwandikie IGP hata kwa sms basi kumweleza wahusika ni akina nani, kisha laumu kma hata fuatilia.
 
Utasikia na kuelewa iwapo tu una akili huru siyo iliyozingwa na unafiki wa kidini.
Rais ni muisla ndio-hukuwai kuisoma historia ya A. Kusini ambapo hoteli, shule, mitaa ilikuwa ya wazungu tu ambapo wafrika hawakuruhusiwa kufika? Unadhani waliokuwa wanlinda waafrika wasifike pale ni wazungu? La, ni waafrika wale wale. "Dogs and Africans are not allowed here" Lakini anayelinda ni mbwa na mwafrika. Usishangae kuona rais na wasaidizi wake uenda wakawa ni waislam, je wanaujua mfumo wa kidhalum uliopangwa na kanisa kwa umakini mkubwa? Pia hao si watendaji wakuu wa shughuli za kila siku watendaji ni wale wale wabaguzi wa kimfumo. Unaweza kuwa mkristo lkn unatumiwa kuwadhulm wakristo wenz wako, vivyo hivyo waislam wapo wa aina hiyo, hawajajitambua, maskini.
 
Naona huoni jinsi ulivyo 'blind' hapa.....
'UNABII' wa Pengo na Romero ni unabii wa kwa waumini tu kama wewe
sio watanzania wote wanao muona Pengo au hata huyo Romero kwa jicho hilo unalo waona wewe
lakini Watanzania hao wakawa 'wanakerwa kutoka moyoni' na mauaji ya Padri na vurugu za kidini nchini...

Pengo ni 'the wrong guy' kusuluhisha tatizo hili
unless useme hautaki aingilie kati kusuluhisha?

Hapa ishu ni Watanzania ambao sio wakatoliki na sio wadini unawaweka wapi ukianza kumuomba Pengo aingilie kati?
Mkuu unaposema serikali ni dhaifu lakini hutaki iambiwe lolote una maana gani?

Unafahamu kuwa serikali imelalamikiwa kwa udini uliopo,ukasema ama kukiri kuwa serikali ni dhaifu,lakini hapo hapo hutaki waambiwe kuhusu udhaifu huo maana itakuwa ni udini kama wakiambiwa.

Halafu pia serikali hii dhaifu isipochukuwa hatua yoyote ile mnaisapoti na kusema "waliofanya hayo ni wahuni" na wala si waislam,hivyo serikali dhaifu iko makini.

Sasa hapo ndipo naposhindwa kukuelewa.
 
Mkuu Jmushi
naona hujanielewa kabisaa

Sijasema serikali isiambiwe
nimesema msuluhishi hawezi kuwa kiongozi wa dini moja
 
Mkuu Jmushi
naona hujanielewa kabisaa

Sijasema serikali isiambiwe
nimesema msuluhishi hawezi kuwa kiongozi wa dini moja
Ni kweli mkuu Boss inawezekana mmoja wetu hajaelewa something.

Kama Mzee Mwanakijiji alimaanisha kuwa Pengo ndiye anayetakiwa asuluhishe hili suala la udini,basi itakuwa nilishindwa kumwelewa Mzee Mwanakijiji.Na la kusema kwamba Pengo asuluhishe hata mimi nalipinga kabisa.Nilishasema hata kwenye ule mjadala wa kuhusu kuchinja,kwamba viongozi wa kidini ambao kazi yao kubwa ni kuzitetea imani zao,huduma zao na waumini wao,hawatoweza kukaa meza moja na kupata suluhu,hilo litakuwa gumu kwasababu arguments zao zitakuwa based on their interests and faith.

Kwa upande mwingine,viongozi hao wa kidini wana nafasi kubwa kwenye jamii.Wana haki ya kuwawakilisha waumini wao kwenye issue ambazo zinahitaji kuisema serikali kuhusiana na maslahi ya waumini hao na maslahi yao.

Ni wazi kabisa kuwa kama issue hii ingekuwa imetokea kwa wenye dini wengine wowote wale ie waislam, basi wangewataka viongozi wao waiulize serikali kuhusu mauwaji ya masheick. Na pengine wangeandamana kuishinikiza serikali kuchukuwa hatua.

Mzee Mwanakijiji yeye alishakiri kuwa yeye ni mkatoliki.

Kama nitakuwa sijamwelewa Mzee Mwanakijiji,basi ni kweli nitakuwa sijakuelewa na wewe pia maana arguments zangu zitakuwa based on wrongful understanding.
 
Hivi ukiongea uongo na kujenga fitina itakusaidia nini? kwa nini unapotosha aliyosema Ilunga? mimi hiyo clip nimeiona mwanzo mpaka mwisho hakuna mahala amesema hayo! alichowaambia waislamu wa Mombasa ni kwamba hawana haja ya kuchoma matairi na kufanya maandamano au fujo pindi akiuliwa Shekh! badala yake nao wamuue Kiongozi yoyote ili Serikali nayo iache kuua Mashehe! jino kwa jino!

Sasa hapa TZ ni shehe gani aliyeuwawa ili kuhalalisha mauaji ya Mapadri na Wachungaji? naishauri Serikali kutumia busara kubwa ili iweze kutatua fitina hii inayopandikizwa nchini kwa hivi sasa!

Iraki na Congo(Zaire) kuna vita vinaendelea huko lakini Marekani na Washirika wake wanaendelea kujichotea mafuta na shahabu! TZ tuna mafuta na gesi sasa tusije ingia mtego walioingia wenzetu tukaanza kuchinjana Muislamu na Mkristo halafu wao wachote tu!

Ndugu, kama wote tunazungumzia Clip ya Ustaadh Ilunga, aliyokuwa anazungumzia mauaji ya Sheikh Rogo, basi lazima tuwe tumeona kitu kimoja. Hii Clip, nimeiangalia jana usiku. Hayo ni maneno ya Ustaadhi Ilunga. Kama kweli unayo iangalie tena na kama hakuna maneno hayo ibandike hapa ili mimi nionekane mwongo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom