Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Status
Not open for further replies.
Ina shangaza sana The Boss kuonesha wazi kuwa umeshindwa kumuelewa Mzee Mwanakijiji.
Naona sababu ulikuwa unafikiri jinsi ya kumpinga.

Naona unajaribu kutuaminisha kuwa anayetoa maoni yake kuhusu hatua stahiki kuchukuliwa ni mdini ila wewe unaye mpinga mdini unataka usionekane mdini.

Sijaona tatizo la mwanakijiji kumkubusha pengo kusimama kwelikweli! Kwani si mara ya kwanza tukio hili kutokea!
 
Last edited by a moderator:
Wakati viongozi wa dini ya kikristo wakiendelea kuchinjwa kila siku hautoi tamko la kulaani mauaji hayo, ila ulipoona thread ya Mwanakijiji ndiyo umeona ukimbilie humu kutoa tamko.
 
mwanakijiji is addicted to politics, hivyo anaingiza siasa kila kona, kuna siku anaweza hata kusema Yesu, Mtume MUhammad SAW au hata Mungu ajiuzulu

to him hayo yote sawa

balance ya analysis yake inapelea hasa akiona au kusikia Zanzibar
 
udini uliletwa na kikwete hapa nchini. nani hajui hlo! afute kauli yake kwenye hotuba yake ya kwanza pindi anafungua bunge. kwa mauaji ya zanzibar serikali ndo ya kulaumiwa. Pengo atoe tamko gani kabla ya serikali. m ningeombwa nimalize udini ningeanza na zanzibar kuchanganya uongozi 50% wakristo na waislamu ili kutoa dhana ya zanzibar kuwa nchi ya kiislam. kwanini viongozi wote wa kiserikali ni waislam? kama wapo wakristo nijuze. hiyo dhana wanataka kuileta hata Tanganyika. Hatutakiiii.
 
Mwanakijiji amejidhalilisha sana kwa uzi wake ule uliojaa chuki. Yeye yuko maelfu ya maili lakini anajiona anajua kila kitu kilichotokea Zanzibar just this morning!!!
Viongozi wa kanisa katoliki wanajua wanalolifanya, they have always done whats right. They will do what is right.

ZeMarcopolo kwani wewe upo Zanzibar au Geita?
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwanakijiji ni mdhaifu wa imani na ni mdini wa kutupwa. Fuatilia michango yake inavyokosa uzalendo na utaifa when it comes to UDINI.

Sasa anataka Kardinali Pengo atoe tamko gani ili yeye aanze kulisambaza kwa kasi nchini ili kuchochea kuchinjana kwa raia wasiokua na hatia kwa sababu za upofu wa KIDINI wa watu aina ya Mzee Mwanakijiji.

Kardinali Pengo naamini atatumia hekima kwa kufuatilia na kuhakikisha washiriki wote wa mauaji haya wanatiwa kwenye mikono ya dola na wanapewa hukumu stahiki kwa wakati, bila kuchochea migogoro na kuchinjana anakokuota kutokee huyu so called mzee Mwanakijiji.

Mzee Mwanakijiji UNAKERA SANA KWA KUENDEKEZA UDINI, kwa kalamu yako.
 
Mjj yupo marekani hana shida tukichinjana,yeye anaratibu akiwa mbali ya uwanja wa mapambano

Kweli MA CCM amtumii akili, yani watu wameuwawa wanataka kuhoji kwanini mnasema wanaleta machafuko, inamaana mwanakijiji ndiye aliye watuma hao wauwaji?
 
Chochote wakachosema
bado jukumu la kukamata wahalifu na kuwapeleka mahakamani lipo kwa serikali....

Pengo sio Nyerere,yes ni sad Padri kauwawa but si kwamba waluiomuua huyo Padri wana
baraka za waislam wote wa TZ....sioni umuhimu wa Kauli za viongozi wa dini kwenye 'POLICE CASE'

Hapo ndio mimi huchoka, ivi kwanini mnasema waislam ndio wamemuuwa? why? kwa evidence zipi jamani tunachafuana humu? ivi hizi ndio busara? hakika inasikitisha. mareporte wa matukio wamesema ni watu wasiojulikana sasa iweje simply mnasema ni waislam?
 
hashycool
The Boss...huoni kwamba viongozi wa ukristo wanatakiwa kusema japo tujihadhari kutokana na trend yaa mauaji yanayoendelea? Wanaweza wasiwe police wa kukamata wahallifu lakini wanaweza japo kutuambie sie wafuasi wao tuwe na tahadhali?

Mkuu, walishatoa tamko lao la pamoja kupitia muhtasari wa kikao cha "Jumuiya ya Wakristo" na kuiwashilisha Ikulu. Ikulu bado wanaifanyia kazi. Tamko lingine litawasha moto tu. Swali langu ni "Hivi tumefika hadi hapo?"
 
hapo ndio mimi huchoka, ivi kwanini mnasema waislam ndio wamemuuwa? Why? Kwa evidence zipi jamani tunachafuana humu? Ivi hizi ndio busara? Hakika inasikitisha. Mareporte wa matukio wamesema ni watu wasiojulikana sasa iweje simply mnasema ni waislam?

kama kusoma hujui hata picha huoni?
 
Watuw engi wanafikiri -kwa kusoma vibaya theolojia - Yesu alikuwa anapenda watu wadhulumiwe au wafanywe duni. Mgongano wake na watawala wa zama zake (viongozi wa serikali na wale wa kidini) ulitokana na yeye kutovumilia dhulma. Au ukandamizaji. Jinsi ambavyo aliwtetea maskini (mama mjane) na hata matajiri (Zakayo) kulitokana na yeye kutambua kuwa wote ni wana wa Mungu.

Lakini kuna vitu ambavyo hakuweza kuvivumilia kwa kuitisha vikao, kutoa matamko ya kubembeleza. Mojawapo ni ni lile la kuingia Hekaluni. Alipokuta watu wamegeuza hekalu kuwa soko hakuitisha kikao, wala kuhubiri.. alifanya hivyo huku akiwatimua watu hekaluni na hivyo kuwaudhi watawala na kuchochea hasira dhidi yake.

Askofu Mkuu Pengo NI LAZIMA atoe kauli iliyo wazi dhidi ya utawala wa CCM na jinsi walivyofikisha taifa hapa. Haya ya kuremburiana na watawala na kujifunika kitanda kimoja nao ndio yamelifikisha taifa hapa.

Si umwambie ajiunge na chama chako ili ijulikane wazi kaamua kuvua joho na anahubiri siasa! lakini ukimtaka atoe kauli kama Kiongozi wa dini atakuwa anavunja katiba kwa kuchanganya dini na siasa!
Ndio maana Dr, Slaa kaamua kuacha Upadri na kuingia siasa kikamilifu!
 
udini uliletwa na kikwete hapa nchini. nani hajui hlo! afute kauli yake kwenye hotuba yake ya kwanza pindi anafungua bunge. kwa mauaji ya zanzibar serikali ndo ya kulaumiwa. Pengo atoe tamko gani kabla ya serikali. m ningeombwa nimalize udini ningeanza na zanzibar kuchanganya uongozi 50% wakristo na waislamu ili kutoa dhana ya zanzibar kuwa nchi ya kiislam. kwanini viongozi wote wa kiserikali ni waislam? kama wapo wakristo nijuze. hiyo dhana wanataka kuileta hata Tanganyika. Hatutakiiii.
Mie naona una upungufu wa mawazo sahihi, unasema udini umeletwa na kikwete ebu define udini ni nini kisha niambie nani mdini kwa evidence zipi? nikurudishe nyuma kabla ya uchaguzi ivi ni dhehebu gani lilitoa ilani ya uchaguzi? na walihamasishana kumchagua nani? jamani kama kweli mna akili za uzalendo acheni upogo, viongozi wenu wa kiroho wanapokosea mkubali kuwa walikosea otherwise mnakuwa kama mnajipaka mavi matokeo yake wote mtaonekana hamna uzalendo na nchi
 
M.M anahamasisha sana watz wachinjane...wakati yy akiwa ughaibuni

Bora mmemshtukia. Unajua kuna watu wanaona mianya ya kuomba misaada fulani kwa kusingizia kutatua matatizo ya amani Tanzania. Watu hao hupenda sana kuwe na vurugu ili wapate sababu ya kuomba pesa. Ni ubinafsi uliokithiri...
 
kama kusoma hujui hata picha huoni?

sawa mzee wa picha, haya mzee wa picha niwekee hizo picha zako zinazokufanya u conclude kuwa waliofanya mauwaji ni wislam? ebu acha upogo mkuu, mambo ambayo huna uhakika ni bora ukabakia kimya kwanza wakati interijensia inafanya kazi yake, acha kuwasemea wana usalama na kujifanya mjuaaaaaaji. usibebeshwe akili zisizokuwa zako zaweza kukudumbukiza pabaya
 
Hapo ndio mimi huchoka, ivi kwanini mnasema waislam ndio wamemuuwa? why? kwa evidence zipi jamani tunachafuana humu? ivi hizi ndio busara? hakika inasikitisha. mareporte wa matukio wamesema ni watu wasiojulikana sasa iweje simply mnasema ni waislam?

Mwaka 2011 kulitokea mauaji ya watu zaidi ya 100 huko Norwey! Maramoja Marekani wakasema ni Waislamu wanahusika! siku ya pili yake Serikali ya Norwey ikamtangaza muuaji ni Mzungu mzawa wa Norwey!
Hivyo usishangae na huku kwetu kila mauaji kuhusishwa Waislamu! if you want to kill a dog give it a bad name!

Hawa watu wana dhamiria kufanya ubaya kwa Waislamu! wameanza kuwahusisha na mauaji ya Mapadri na Wachungaji ili waanze kuwakamata viongozi wa Waislamu na walianza na Akina Shehe Ponda, Faridi sasa wanataka kuendelea kukamata Mashehe na kuwafungulia kesi hewa!

Ikiwa hili litafanyika basi tutajenga fitina kubwa nchini!
 
Mwanakijiji si mwanasiasa hivyo haihitaji kujipendekeza kwa jamii yoyote.

Nani kakwambia kama mwanakijiji siyo mwanasiasa. Mfano kidogo, Rejea mahojiano ya Mh. Zitto hapa JF yaliyoratibiwa na AshaDii kuhusu anavyohusika na mambo ya siasa kila kukicha na wakati huo huo yuko pia kwenye mambo ya dini.

Kwa mfano, Mwaka 2009 tulikuwa tunapitisha sheria ya Baraza la Usalama wa Taifa. Wakaja kuniomba kuwa sheria ile mbaya na inajaza watu wengi kwenye chombo hicho. Tuka mobilise wabunge kuikataa. Haikukatiza kwenye floor. Mwaka 2008 waliomba sheria yao iboreshwe ili kuondoa kipengele kinachowazuia wao kukamata. Maana sheria ya sasa inasema wao kazi yao ni kushauri tu. Nakumbuka nilifanya kazi hiyo na MwanaKijiji, alinisaidia sana kutafiti na kuandika kwa uzoefu wake wa Marekani kipengele kipya. Hatukufanikiwa na hivi sasa TISS hawana meno!
 
Hii ni dharau kubwa sana wanayo onesha waislamu.
Ona kwenye hii video,wameua wao,wanakimbia kutoa tamko wao eti
"Viongozi wa dini tukae tuzungumze nini kiini cha tatizo"

Kwani kiini hamkijui?
Ni nyie wenyewe waislamu,kila mnapo kutana mnapanga mauaji tu.
Sasa wakae na nyie kutafuta nini?
cha muhimu tuombe serikali itu gawie mapanga kila mwananchi,na ipigwe filimbi.
Watakao baki hai wata simulia vizazi vijavyo.
Baada ya hapo heshima itarudi,upole umezidi.

 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom