Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
we boss gani kama hata mpangilio hujui utajuwa h gerl tu
Wao ni binaadamu
wanaweza kuwa 'carried out' na emotions na hasira na uchungu
mwisho wakasema 'kuweni na tahadhari na waislam wote'
we unaonaje hapo?
fair?
Ndoo maanake!!Watuw engi wanafikiri -kwa kusoma vibaya theolojia - Yesu alikuwa anapenda watu wadhulumiwe au wafanywe duni. Mgongano wake na watawala wa zama zake (viongozi wa serikali na wale wa kidini) ulitokana na yeye kutovumilia dhulma. Au ukandamizaji. Jinsi ambavyo aliwtetea maskini (mama mjane) na hata matajiri (Zakayo) kulitokana na yeye kutambua kuwa wote ni wana wa Mungu.Lakini kuna vitu ambavyo hakuweza kuvivumilia kwa kuitisha vikao, kutoa matamko ya kubembeleza. Mojawapo ni ni lile la kuingia Hekaluni. Alipokuta watu wamegeuza hekalu kuwa soko hakuitisha kikao, wala kuhubiri.. alifanya hivyo huku akiwatimua watu hekaluni na hivyo kuwaudhi watawala na kuchochea hasira dhidi yake. Askofu Mkuu Pengo NI LAZIMA atoe kauli iliyo wazi dhidi ya utawala wa CCM na jinsi walivyofikisha taifa hapa. Haya ya kuremburiana na watawala na kujifunika kitanda kimoja nao ndio yamelifikisha taifa hapa.
The Boss,
Sheikh Ilunga anatoa mafundisho ya kulipa visasi kwa kuua makafir, askofu na mapadre, in the name of Islam. CD zinasambazwa nchi nzima, in the name of Islam. A padre was shot, he naturally becomes a suspect and so does Islam.
Hakuna taasisi iliyo-denounce mafundisho yake na sijaona wewe ukipinga kile anachofundisha zaidi ya kufumbia macho. Hivyo, indirectly, kuhalalisha anachofundisha. Je, huo ni Uislam? If not, mbona hamsemi lolote juu ya mafundisho yake ya "kiislam"?
Wana JF nilikuwa sujawahi kumsikia wala simjui huyu Sheikh! Niko Rwanda kikazi Lakini nimebaki Mdomo wazi kusikia vitu Kama hivi. Hivi kweli huyu ni mtanzania? Sidhani na wala siamini kuwa huyu ni mtanzania! Nina marafiki wengi sana waislaam bara na huko Zanzibar ambako Nina rafiki ambaye ni ndugu kwa jinsi tunavyothaminiana na kuheshimiana including ndugu na wazazi wetu. Haya siyo maneno ya uchochezi ya kiongozi wa dini ila ni uhalifu ambao hauhitaji kupewa hata sekunde! Ni lazima akamatwe mara moja na kushitakiwa. Huyu si mtanzania, kwa hili naapa kabisa kuwa si mtanzania maana sioni ule moyo wa kitanzania hata chembe tu!
TWO wrongs do not make it right...
wakuwa held responsible ni serikali.....na sio kila mtu akimbilie kwa viongozi wa dini yake
unapinga nini,na unafanya nini?
Ni mtihani mkubwa sana haya mambo yanatokea... Ni mtihani kwa Waislamu na Wakristo pia. I can understand Mwanakijiji ingawa sikubaliani naye; najaribu kufikiria katika nafasi yake ningekuwa na msimamo na mawazo gani... Najikuta siwezi pata jibu sababu circumstances zake na zangu ni tofauti... Na hali pia circumstances za tukio na matukio ni lazima yapeleke wengi huko na kuwafanya wawe wenye hasira, hasa kwa Imani ya Wakristo.
Boss I support you na uliyosema... I can understand the frustration for I am so frustrated right now na sielewi ni nani nimwelekezee. Sad.
Hizo ndiyo fikra za Mwakijiji zipo wazi katika jamii ya Kiislam.
Hizo ndiyo fikra za Mwakijiji zipo wazi katika jamii ya Kiislam.