Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

Status
Not open for further replies.
Chochote wakachosema
bado jukumu la kukamata wahalifu na kuwapeleka mahakamani lipo kwa serikali....

Pengo sio Nyerere,yes ni sad Padri kauwawa but si kwamba waluiomuua huyo Padri wana
baraka za waislam wote wa TZ
....sioni umuhimu wa Kauli za viongozi wa dini kwenye 'POLICE CASE'



Daaaaaaaaaaaaaaaaaaahh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! inatisha.
 
By The Boss Chochote wakachosema
bado jukumu la kukamata wahalifu na kuwapeleka mahakamani lipo kwa serikali....

Pengo sio Nyerere,yes ni sad Padri kauwawa but si kwamba waluiomuua huyo Padri wana
baraka za waislam wote wa TZ
....sioni umuhimu wa Kauli za viongozi wa dini kwenye 'POLICE CASE'

sasa hapa kuna lipi la kuelezea zaidi? mwanzisha mada mwenyewe kakubali kuna baraka zao kadhaa. siwapendi kweli waislamu
 
Bado Kiongozi wa wakristo anapaswa kusema jambo.....hili sio tukio bali ni mlolongo wa matukio....ilianza choma makanisa zanzibar baadae mbagala,wakristo kimya.....ikaenda padri akapigwa risasi zanzibar si polisi wala serikali aliechikulia serious....ikafika hatua wakachinja mchungaji Geita mwanza,no any further reaction taken by the incumbent government...sasa imefikia kupoteza uhai wa padri tena....This is too much....kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ni kosa kubwa.....kuna matamko na ngonjera zinaendelea kwenye vyombo vya habari vya kidini,serikali inalichukuliaje hili?...ni kama haiwajabiki na viongozi wa serikali wanaonekana kuwa untroubled na hili kabisa ndo maana wanaishia kulaani na kuacha lipite kama upepo....
Bado nachelea kusema Mwanakijiji yupo sahihi japo mtoa mada unaonekana kukwepa kuwaudhi upande flani...la hasha hii ni hatari how do you think the members of the grief stricken live.....its a moment that will live in infamy.
 
Msiwe na jazba wana chadema,mbona huku z'br walishakufa wengi tu waislam kwa risasi na haijawa kitu.
 
TWO wrongs do not make it right...

wakuwa held responsible ni serikali.....na sio kila mtu akimbilie kwa viongozi wa dini yake
unapinga nini,na unafanya nini?

Kazi ya viongozi wa dini ni kuwapa muongozo waumini wao ili waishi maisha ya amani; na pale ambapo waumini wao wanatendewa visivyo ni jukumu la viongozi hawa wa dini kuwaonesha njia ya kujitetea na maovu wanayotendewa. Sio busara kwa viongozi wa dini kukaa kimya pale wafuasi wao wanapoteketea eti kwasababu kuna serikali yenye wajibu wa kuwalinda!! Inapotokea kuwa serikali inayotakiwa kuwalinda wananchi kuwa legelege nani anatakiwa kuziba hili ombwe kama sio viongozi wa jamii wakiwemo hawa wa dini?
 
Kwanza kabisa nalaani kwa nguvu yote mauaji ya Padri huko Zanzibar ningependa kuona hatua kali zinachukuliwa kwa wahusika bila huruma yeyote wala mizengwe ya aina yeyote......


Sasa turejee kwenye mada....

Ni kawaida watu wenye UDINI kuwa watu wa kwanza kulalamikia UDINI wa wengine na wao wenyewe kuwa 'vipofu' kabisa na udini wao
hata kama Udini wao upo waziwzi.....

Sasa nafahamu heshima aliyonayo Mzee Mwanakijiji kwa wana JF na wengine kiasi kwamba hata anapokosea huoni watu wakimkosoa kabisa......

Hii thread ya Mwanakijiji akimtaka Kardinali Pengo ajiuzulu au achukue hatua ni thread iliyojaa hisia za UDINI na thread HATARI mno kwa Taifa Na Kwa mtu kama Mwanakijiji kuja na thread hii hapa ni jambo la kushangaza mno.....

Ukiwa MTAIFA basi kila tatizi la nchi unaloliona uta demand action kutoka kwa viongozi wa kitaifa kamwe huwezi demand action kutoka kwa viongozi wa DINI hasa DINI yako......

Kuuwawa kwa Padri Zanzibar hakuhitaji action za Pengo ,Kunahitaji actions za Viongozi wenye UTAIFA Na wanaojali UTAIFA kwanza,Pengo hata awe na busara za aina gani ni kiongozi wa DINI ,na UHALALI wa Pengo unaishia kwa wafuasi wa dini yake tu......hata kama viongozi wa KITAIFA hawafanyi wanayotakiwa kufanya, bado Pengo Hawezi ku Play role ya Kiongozi wa Taifa hasa kwenye vurugu za kidini kama hizi...

Pengo yuko sahihi kuwa kimya na kusubiri,kuliko kukimbilia kutoa kauli zinazo weza leta MAAFA ZAIDI, hasa kama mpaka sasa hatuna uhakika waliomuua huyo Padri wana malengo gani haswaa?

What if malengo yao ilikuwa ni kuwa Provoke WAKATOLIKI ili walipize visasi na nchi ivurugike?

Huwezi kusikia Jenerali Ulimwengu akimuomba Pengo aingilie kati,unajua why? sababu anajua ni makosa kwa watu kukimbilia kwa viongozi wao wa dini kuomba muongozo kwa matatizo ya 'uzembe wa kisiasa na wanasiasa'.....

uhalifu na vurugu zinazojitokeza ni zao la serikali dhaifu,sasa kila mtu akianza kuomba muongozo wa Viongozi wa DINI yake,unafikiri hii nchi itakalika?

Ukosefu wa busara kwa viongozi wa serikali hauwezi kuzibwa na busara za viongozi wa dini, viongozi wa dini watabaki kuwa viongozi wa dini,wakitetea maslahi ya dini zao na wafuasi wao... leo kwa WAKATOLIKI utasema Pengo achukue hatua,kesho akiuwawa msabato?
akiuwawa Imam wa Shia je?je kukitokea mauaji ya Mashia,wakuawa huko Zanzibar labda na waislam wa Sunni? Pengo atakuwa relevant?...

BADO KAMA TAIFA TUNAWEZA KUTAFUTA 'BUSARA YA KUTUPATANISHA' NA KUWASHUGULIKIA 'WAHUNI' WOOTE BILA KILA MTU KUKIMBILIA KWA KIONGOZI WAKE WA DINI, KUKIMBILIA KWA VIONGOZI WA DINI KUOMBA MUONGOZO KWA MATATIZO YA KITAIFA NDIO UDINI WENYEWE.

You are a great and deserve to be granted.Una busura kubwa sana.Mzee mwanakijiji busara inatoweka.Uwezo wake wa kuchambua mambo unapotea kabisa.Anafikiri akikamatwa ustaadh ilunga kazi itakuwa imeisha.Lazima mtu kuwa na mang'amuzi,viongizi wa uamsho wako ndani na ponda pia,lakini hali haitengamai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom