Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Bwana Yesu asifiwe wapendwa,

Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu (No one is perfect under the sun). Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara nyingi kuliko faida

Kwa upande wangu weakness inayonitesa zaidi ni Haya. Imenikosesha marafiki na fursa mbalimbali za maendeleo.

Mwana JF share weakness yako na madhara yake.
Mi naona mapungufu ya karibu kila kitu.

Wewe tu ulivyoanza umeanza kama uko kanisani vile wakati hapa kuna mkusanyiko wa watu wa imani tofauti na wasio na imani.
 
Kupenda sana ambako kunanitesa mpaka nakua mtumwa wa mapenzi, jeuri hasa wa kwa wanaume wanaodhani hela inamfanya mwanamke akunyenyekee, kusema ya moyoni hasa kama mtu amenikwaza sinaga kumkawiza namwambia hapo hapo umenifanyia hivi sijapenda ukinuna shauri ako.
Upo kama mie pia
 
Weakness yangu hawa wadada yan siwezi kubishana nao kabisa hata kama wako wrong wakijiona wako right nawaacha tu
 
1.Mimi napenda kweli na siwezagi kumfichia hisia mwanamke ambaye she keeping it 1 hunnit. I do turn to be super romantic and they always take it as an advantage.

2.Sipendi uswahili hasa kwa mtu asieweza kutimiza ahadi zake, excuses zisizo na mwisho. Mtu asie na msimamo na mzito kuelewa ni ngumu sana mi kuivana nae.

3.Nina short temper, yani kukuchenjia ni dakika 0 mazee ila ni mwepesi sana kusamehe na huwa siwezagi kuweka kinyongo moyoni.Nakupa kavu na hasira ikiisha tu hapo hapo maisha yanaendelea.

4.Sijawahi na sina guts za kumpiga mwanamke licha ya kuwa nina hasira za karibu mno pindi nikikwazika.
 
Weakness yangu ni hii...

I love TOO MUCH..

I trust TOO MUCH...

I care TOO MUCH...

and

They hurt me TOO MUCH.
i also share these traits but shida inakuja siwez sex na mwanamke nisiempenda toka moyoni. Sinaga tamaa za kijinga hivyo u player kwangu ni changamoto sana. Yakinizidiaga nachepuka kwa shida ila at the end na regret mno why did i have to do it man. I wish they knew wapo na real G nisiependa drama.
 
Back
Top Bottom