Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Hmmmm! hapo umenigusa aisee dah! Hongera kwa kuwa na moyo kama huo wa kutoa cha mwisho ulichonacho ili kumsaidia mtu ambaye wala huna nasaba naye.

Najiapizaga kabisa, ila ndio najikuta huruma ishaniingia na ndio basi tena.

Nishawahi kumlipia mwanafunzi anayeishi katika mazingira magumu ada baada ya kurudishwa akawa analia sana, kipindi hicho ndio nimeajiriwa alafu ndio ilikuwa pesa pekee niliyobakiwa nayo na sina means nyingine yoyote ya kupata pesa na siwezi kuomba. Huo ni mfano mmoja tu.
 
Tatizo ukiwa na huruma afu ukajipa excuse ya kutokutoa, nafsi yako inabaki kuumia, kujilaumu na kujutia. Especially inapotokea mtu uliyetoa excuse kumsaidia akapatwa na mabaya, utajihukumuje
 
Ada yangu ya twisheni imepotea baba ataenda kunipiga nyumbani, mwl atoto naomba unikopeshe Tsh10,000 halafu nitamuomba mama nitakurudishia
 
Hmmmm! hapo umenigusa aisee dah! Hongera kwa kuwa na moyo kama huo wa kutoa cha mwisho ulichonacho ili kumsaidia mtu ambaye wala huna nasaba naye.
Kazini wananiitaga mama huruma,maana wanafunzi wa hivyo nishasaidia sana, tatizo linakuja pale ambapo mtu anaamua kutake advantage ndio naumiaa najiapiza sirudii tena ila najikuta nisharudia tena!! Khaaah! Hiyo roho mbaya itabidi unifundishe maana inanigharimu mno.
 
lol! hahahahaha daughter kumbuka huyo ni mama yako 🙂🙂🙂 anaweza akamwaga radhi 🙂🙂 Nimecheka lol!
Huyu binti yangu anatafuta radhi tu, na kwakuwa anajua siwezi kumpa as nampenda sna, nae anatake advantage, kaone kakichwa kake kama ka baba yake.
 
Tatizo ukiwa na huruma afu ukajipa excuse ya kutokutoa, nafsi yako inabaki kuumia, kujilaumu na kujutia. Especially inapotokea mtu uliyetoa excuse kumsaidia akapatwa na mabaya, utajihukumuje
Ndio hapo sasa, mie nashindwaga kabisa, kama naweza yaani nafsi inanisuta najikuta ndio nishajitosa.
Sijui hata nifanyeje niondokane na hili.
 
Baki tu hivyo hivyo, ndo wito wako kusaidia wengine. Kuna vitu kuvibadilisha ni kazi mno, ingawa kuna watu pia watatake advantage of huruma yako. Wasaidie anyway
 
Nina maudhaufu haya..
1. Napenda sana utani kiasi cha watu kuchukulia utani utani hata wakati nipo serious
2. Hata mtu anikasirikie vipi, nikiamua kukaa kimya naonekana ninadharau
 
Back
Top Bottom