Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

udomo zege.. domo zito.... anao anao nyingi... papuchi nyingi huwa nazikosa kizembekizembe tu....
 
Ni kazi sana kubadilika kuwa mtu tofauti. Nenda tu hivyo hivyo siku lilikukuta kubwa, utakuwa tu kauzu bila hata ya kuomba ushauri.
Linikute mara ngapi!! Usiniombee kubwa zaidi, ngoja nianze kujifunza kabla halijanikuta hilo unalosema kubwa.
 
Hasira ndio kitu kinaninyima aman, naweza fanya tukio nikaja jutia baadae
 
I am very strict kwenye time management ila waTz wengi hawawezi so hukwazika sana mara nyingi
 
Back
Top Bottom