Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,013
- 2,001
Upole uliopitiliza na huruma iliyozidi....
Hahah nakweri!!!Mira pia jinona kija chekigwa..teh..
mbona hii ina faida sana kuliko hasara unaepukana na magonjwa ya zinaa au ??Masturbartion
MmmmhhhHebu nihurumie basi na mimi jmn
Hii tunafananaMipango mingi na mizuri lakini mzito kutekeleza sometimes nahisi kama nahitaji maombi
Kumbe si peke Yangu?????Hii tunafanana
Sasa huo ni udhaifu au appreciation!Mabinti wanaoyaelewa maisha, wacha Mungu na wanaojibidisha kufanikiwa maishani. Mabinti wote wa aina hii huwa mnanimaliza kabisa. Much respect!