Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
Nakupenda.... Nihurumie na mimi
 
Bwana yesu asifiwe wapendwa

Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu(No one is perfect under the sun).Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara nyingi kuliko faida

Kwa upande wangu weakness inayonitesa zaidi ni Haya.Imenikosesha marafiki na fursa mbalimbali za maendeleo
Mwana JF share weakness yako na madhara yake

Napenda sana kufanya Mapenzi ' Mabao ' mengi na hii hali inanifanya Wanawake wengi ' wanikwepe ' huku kila nikiwaomba ' zigo ' tu wanasingizia Wanaumwa. Sipendi ' kumbandua ' Demu bao saba ( 7 ) hadi tisa ( 9 ) ila najikuta tu kila ninapokutana na Mwanamke ' natiririka ' nae hivyo na natamani mno nami niwe napiga tu bao ' moko ' au ' bee ' kama Wanaume wengine ila nashindwa.
 
Kupenda sana ambako kunanitesa mpaka nakua mtumwa wa mapenzi, jeuri hasa wa kwa wanaume wanaodhani hela inamfanya mwanamke akunyenyekee, kusema ya moyoni hasa kama mtu amenikwaza sinaga kumkawiza namwambia hapo hapo umenifanyia hivi sijapenda ukinuna shauri ako.
 
Napenda sana kufanya Mapenzi ' Mabao ' mengi na hii hali inanifanya Wanawake wengi ' wanikwepe ' huku kila nikiwaomba ' zigo ' tu wanasingizia Wanaumwa. Sipendi ' kumbandua ' Demu bao saba ( 7 ) hadi tisa ( 9 ) ila najikuta tu kila ninapokutana na Mwanamke ' natiririka ' nae hivyo na natamani mno nami niwe napiga tu bao ' moko ' au ' bee ' kama Wanaume wengine ila nashindwa.
mkuu hii sifa sasa!
kidogo tu tufanane mimi napiga mabao matano kawaida, weaknes ya tofauti ninayoexperience kwa kwasasa ni kwamba kila mwanamke ninayekutana nae hatudumu wanaishia kulalama katika tendo kwamba wanaumiza kizazi!
dushe linagonga hadi sehemu isiyohusika, najitaid kuzuia lakin wapi
 
1475717477213.jpg
1475717484932.jpg
1475717488716.jpg
1475717494153.jpg
1475717503533.jpg
 
Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
Da pole mkuu
 
Mwenyewe ninatatizo kama lako. Kunamuda mpaka nashindwa kutanisha mwezi wa mshahara
 
Back
Top Bottom