LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Hahha hapo ni mtihani, hadi mtu afike huko ni kazi ya ziadaFlirting haziishii kwenye "bedtime stories"? Teh teh!
Hahha hapo ni mtihani, hadi mtu afike huko ni kazi ya ziadaFlirting haziishii kwenye "bedtime stories"? Teh teh!
Yeeto,rumburya wethinashinjia hili igheri?Flirting haziishii kwenye "bedtime stories"? Teh teh!
So mama yako huamini kama ndiye alikuzaa au?Mimi wa kwangu ,,,Ni kuwa simwamini mwanamke duniani na Sijawahi kumpenda kwa Dhati yaani hii hata Mama yangu huwa simwanini kabisa kwa hiyo na amini wanawake wote ni Nyang'au tu,,Jiulize kama mama yangu mzazi nilikuwa sipendi kwake pind nipo mdogo ,,Baada ya kukuwa ndo nikampunguzia mashart naenda kwake ILa siwezi maliza 2 days Huuu udhaifu mke wangu kaugundua nashukuru mungu na mimi nimeanza kuugundua so naamini ni wanawake tu ndo madaktari wangu
Nekihira ndima ja kaburu rumburya!!Yeeto,rumburya wethinashinjia hili igheri?
May be you should try food which increases libido.good examples are afrodidiacs.Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
Duh! Yaani kweli daktari kakufanyia hivyo.Mi nilishauriwa kwenda hospital nikaenda daktari akataka nisex nae eti ndo ajue shida ni kuandaliwa au ni kitu kingine nikaamua kuondoka na sitaki kwenda tena hospital natafuta mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume naamini nikimpata tutaendana na hatutasumbuana
Yaani mimi mwenye nashangaa.....Hahaha loh huyo dr ni ****** hakianani
Mkuu nilikuwa nafahamu kua udomo zege upo kwenye kutongaza tuUkimya fulani hivi ambao naona huwa unaniumiza tu hadi najiona falah, sometimes naona poa kukaa kimya kila kitu kinakaa Sawa, sometimes naona ukimya unaniumiza sana nahitaji kuongea ila siongei.....
Sijui ni udomo zege nashindwa hata kujielewa ila sipendi hii hali
Ndo maana nikasema sijielewi elewi flani hiviMkuu nilikuwa nafahamu kua udomo zege upo kwenye kutongaza tu
Nilidhani huwezi mpa mapenzi tena! Ila inauma sana!Udhaifu wangu yaan nikimfumania mpnz wang tu pale pale upendo unakata hata afanye nn cwez tena kumpa mapenz kama zaman
Kabisa na mimi hivyohivyo!upo kama mimi naamini mtu kumbe mengine mashetani kabisa