Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
kwann[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Napenda sana giza[emoji102]
kwann[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Napenda sana giza[emoji102]
Namkubali sana huyoKwenye Avatar anaitwa John Cena kwenye pambano la miereka anakuwa mpole tu akikutana na vichwa vibishi kama Undertaker, Sheamus, Brock lesnar etc[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Japo kuwa kwa John cena ushindi daima, anapendwa na mashabiki wengi, nguvu nyingi anakubeba tu hata mzito km mark henry..u can't see me[emoji724]
Ha huyu jamaa story zake kama vitabu vya kusadikikame mwenyew sijaelewa
Kuna mambo mazuri sana hufanyika hukokwann[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bwii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikinywa huwa naongea sana.
Sis tunaendana katika hilo, but is it a weakness or strength yetu? Me naona kama ni kitu kizuri vile. Yani na-value mahusiano mno, I will give my all kwa watu naowajali, unfortunately kuna wengine unavyozidi kuwatreat vizuri wanaanza kuku-take for granted. Yani mwingine jinsi unavyomtreat vizuri anaanza kuhisi labda huna watu wengine wakuwatreat hivyo, your life revolves around him/her, nawachekaga mwee.Weakness yangu ni hii...
I love TOO MUCH..
I trust TOO MUCH...
I care TOO MUCH...
and
They hurt me TOO MUCH.
[emoji23] [emoji23] au muviHa huyu jamaa story zake kama vitabu vya kusadikika
Mambo ya GizanKuna mambo mazuri sana hufanyika huko View attachment 413441
[emoji102] [emoji102]Mambo ya Gizan
Naomba iishie kwanguFlirting...hii tabia nashukuru inaniondoka!!