Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Nimekua mvivu mno mpaka najionea huruma,nitajikwamuaje nisiwe nifanye kazi kwa moyo na kujituma bila kujivuta?
 
Kuto kumuamini mtu yeyote katika maisha yangu,huwa inanigharimu ila ndivyo nilivyo.
 
I got high sex libido...sometimes I wish to tell her lets try threesome so that I can be satisfied but I fear she wil take it negatively.
 
Nina vijihasira vya karibu yani kitu kidg kinanifnya nakuwa kama nmerukwa na akili lkn pia nina huruma haswaa!
 
I hate sex, I love romance kitu ambacho ni ngumu sana kukipata bila kuishia kwenye sex labda mpaka siku nikibahatika kumpata mwenye upungufu wa nguvu za kiume awe anapiga angalau mara moja au mbili kwa mwezi
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
 
Pole sana Mkuu
Hilo kaka ndo maana huwa nasoma vitabu vyenye kunifnya niwe selfish kidogo na rude,nakumbuka nilikaaga na jamaa ghetto tulijuana juu juu tu,kaenda sehem hatacjui,kaleta TV ikakaa hapo ghetto,hata ilikuwa haifanyi kazi,umepita mwaka na jamaa alisha sepa,nashangaa cku hyo polisi wanakuja na mdada ana claim kua mm ndo nilikuwa nampa hifadh huyo jamaa,so niko responsible,tulibishana ila badae nikaona usumbufu maana hata masomo na kazi vikawa vinashindwa kwenda poa,nikalipa laki saba,ila nashukuru wife wangu kauzu balaa,hatakag hizo habari
 
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
Mueleze mumeo awekeze muda wa ziada kwenye romance ili nawe upate raha.
 
0713 jamani napenda sana mtandao wa tigo
 
Back
Top Bottom