Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

1. Mgumu wa kusamehe
2. Nampenda mume wangu sana had najishtukia
3. Sipendi kuficha kitu hata kama kitakuwa kinamuudhi mtu, mimi namwambia tu hata bosi wangu mimi namwambia
tu na sipendi mtu anidanganye.
 
Mi udhaifu wangu nikiwa na hela nachukia sana wanawake,nikizikosa napenda kila mrembo ninaemuona mbele yangu!
 
Hasira za karibu sana zenye mchanganyiko na kipigo huwa nashindwa kujizuia wakati mwingine ila najaribu kuzuia pale inapobidi
 
wivu, wivu wivu

asee nashindwa kuelezea in kiasi gani nna wivu , yani mpaka nikimuona jamaa ana mademu wawili naskia wivu sana ,yan natamani nkamwambie yule demu mmoja kuwa Mshkaji anachepuka, yani wivu wangu si kwa viti vyangu tuu hats vya MTU mwengine

but kila nikikumbuka haka kanyimbo ka diamond " wivu ni mapenzi but usizidi kidogo napunguza
 
Kutokujiamini,hasira za karibu napenda sana kususa na kitu kidogo tu cha kuniudhi nalia.
 
dah mimi weakness yangu iko nikipanga enda nunua kitu, mfano naweza panga naenda nunua raba basi ntarudi na jeans au ntaishia itumia hela kwenye mambo yasiyo na msingi, yani huwa najinote sema ndio hivo. kuna siku nilienda nunua laptop hahahaha nikaishia nunua simu kali sana nikajuta sana. Ila now shem wenu kanisaidia sana kuwa kwenye track.
 
Mimi weakness yangu napenda picha za ngono aina zote
 
1: Napenda kuongea ukweli, kitendo hiki kimenifanya nisiwe na marafiki na pia nichukiwe na wengi coz watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, yani siwezi kufumbia macho jambo.

2: napenda mtu awe on time, nakuja saa 5 njoo, umechelewa hua siwezi kusubiri ajabu mimi napenda kusubiriwa, teh teh.

3: hua siruhusu Moyo wangu ukatawala Akili yangu,
Hali hii hufanya nisimuamini mtu yeyote.
Heer mi la ontime hunishindi huwa sisubiri hata sec 5
 
Aisee udhaifu wangu sometime najihisi inferior na huwa sometime nakosa hamu ya kuongea kabisa hata kama mada ni hot kiasi gani ama hata kama naona watu wanakosea ila nakosa hamu ya kuongea kabisa, hata unaweza kuta watu wana ongea na kuna kitu wapo wrong kabisa ama wanataka majibu hata kama nayajua siwezi kuongea

Ila pia sometime nikiwa na furaha naongea kweli kweli ila tatizo furaha haidumu muda mrefu hivyo nakuwa kimya muda mrefu
 
Weakness yangu ni mgumu kusamehe na kusahau mtu akinikosea
 
Back
Top Bottom