Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Dah! Mi Ni Mwepesi Wa Kupizi Ndani Ya Sekunde 2 Wazungu Wanakimbizana Kufuata Kibumbu
 
Flirting...hii tabia nashukuru inaniondoka!!
Pamoja na utumishi wangu lakini tabia ya Flirting inanitesa sana,Nimefanya na almost wanawake wote hapa ofisini, wengine wameniwekea bifu, sijui naachaje hii tabia?!!!
 
Sijui kuwa seriouz,yani hata kwenye mambo ya msingi me ntaweka utani kidogo tu,unaweza kunifananisha na JK,Pia ni muongeaji sana.hayo ndo madhaifu yangu makubwa.
Hata macho yako yanaonesha..
 
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
Mi nilishauriwa kwenda hospital nikaenda daktari akataka nisex nae eti ndo ajue shida ni kuandaliwa au ni kitu kingine nikaamua kuondoka na sitaki kwenda tena hospital natafuta mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume naamini nikimpata tutaendana na hatutasumbuana
 
Pamoja na utumishi wangu lakini tabia ya Flirting inanitesa sana,Nimefanya na almost wanawake wote hapa ofisini, wengine wameniwekea bifu, sijui naachaje hii tabia?!!!
Hiyo tabia ikikukaa kwenye ngozi utashindwa kuiacha. The best option ni kupunguza kuongea na wadada, hasa mambo yasiyo na lazima kuongea.
 
Back
Top Bottom