Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
 
Ukimya fulani hivi ambao naona huwa unaniumiza tu hadi najiona falah, sometimes naona poa kukaa kimya kila kitu kinakaa Sawa, sometimes naona ukimya unaniumiza sana nahitaji kuongea ila siongei.....
Sijui ni udomo zege nashindwa hata kujielewa ila sipendi hii hali
 
Spending is my biggest weakness. Nina matumizi mabaya sana ya pesa. Mimi ni mtu ninayeshika pesa ya kila siku so huwa sijali sana kuhusu matumizi, coz naona nikiitumia leo, kesho nitapata nyengine either the same amount au zaidi. But namshkuru Mungu nimeshafanya miradi yangu kama nyumba, biashara pesa inazidi kuingia but my spending is very abnormal. Yani huwa nashindwa kujinyima starehe nikiwa na pesa.
Mmmmmhhhhhhh
 
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
Pole sana nahisi utakuwa unakosa maandalizi ya kutosha kbl ya dushe, hlf pengine ufundi na wenyewe hauko poa kwa mr. nimewahi kukutana na hii scenario kama yako somewhere.
 
Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
Twafanana!!!!
 
Yaan mi napenda kila mtu awe na furaha, sometimes huwa nataman kila mtu angekuw na upendo wa kumpenda kila mtu kama Mimi. Hali hii imeshanisababishia hasara Mara kibao hasa nilipowakopesha hela marafiki hawakunilipa kwasababu siwezag kukomalia
 
Mimi wa kwangu ,,,Ni kuwa simwamini mwanamke duniani na Sijawahi kumpenda kwa Dhati yaani hii hata Mama yangu huwa simwanini kabisa kwa hiyo na amini wanawake wote ni Nyang'au tu,,Jiulize kama mama yangu mzazi nilikuwa sipendi kwake pind nipo mdogo ,,Baada ya kukuwa ndo nikampunguzia mashart naenda kwake ILa siwezi maliza 2 days Huuu udhaifu mke wangu kaugundua nashukuru mungu na mimi nimeanza kuugundua so naamini ni wanawake tu ndo madaktari wangu
 
Intelligent and successful Men..najikuta naflirt bila kupenda...naenjoy sanaa mtu akiwa kipangaa af maisha Mungu kamjalia yamemnyokea
 
Spending is my biggest weakness. Nina matumizi mabaya sana ya pesa. Mimi ni mtu ninayeshika pesa ya kila siku so huwa sijali sana kuhusu matumizi, coz naona nikiitumia leo, kesho nitapata nyengine either the same amount au zaidi. But namshkuru Mungu nimeshafanya miradi yangu kama nyumba, biashara pesa inazidi kuingia but my spending is very abnormal. Yani huwa nashindwa kujinyima starehe nikiwa na pesa.
Uwe unaleta nakupangia...
 
Nasimamamisha hata nikiona kuku wanabakana....yan hata nzi mshipa unajaaa
 
Back
Top Bottom