Kwenye Avatar anaitwa John Cena kwenye pambano la miereka anakuwa mpole tu akikutana na vichwa vibishi kama Undertaker, Sheamus, Brock lesnar etcAvatar yako inanipa picha tofaut na ulichosema

hahaha namfaham ndo maana nilikataaKwenye Avatar anaitwa John Cena kwenye pambano la miereka anakuwa mpole tu akikutana na vichwa vibishi kama Undertaker, Sheamus, Brock lesnar etc![]()
![]()
Japo kuwa kwa John cena ushindi daima, anapendwa na mashabiki wengi, nguvu nyingi anakubeba tu hata mzito km mark henry..u can't see me![]()
Kweli dadaMr iq......![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mtu unajiita mr iq kisha unatukana chaaaaKweli dada
Mhmmm asee pesa ya kila siku sijui ikoje raha sana sema sijawai kuifanyia maendeleo make uhakika upo wa kupata nyingine kesho,mshahara ndo sichezeagi.Spending is my biggest weakness. Nina matumizi mabaya sana ya pesa. Mimi ni mtu ninayeshika pesa ya kila siku so huwa sijali sana kuhusu matumizi, coz naona nikiitumia leo, kesho nitapata nyengine either the same amount au zaidi. But namshkuru Mungu nimeshafanya miradi yangu kama nyumba, biashara pesa inazidi kuingia but my spending is very abnormal. Yani huwa nashindwa kujinyima starehe nikiwa na pesa.
Hallelujah. That's my men. I have a lot of things to learn from you men.Occasionally![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa nchi yetu hii nadhani unakwazika sana. Hasa kama unaishi Dar, mtu anakuambia nipo ubungo tukutane magomeni, kumbe hata mbezi luis hajafika.Weakness yangu;
Am too sensitive na muda,asyee tuki arrange muda ukaleta sababu za ajabu ajabu...next time ujue huna chako.
Sependi frequently excuses reasons..ebhana kuna watu wanasababu,kila kukicha yeye anampya.
Cool no P! just keep in touchHallelujah. That's my men. I have a lot of things to learn from you men.
Yah ni tatzo sana inabidi kujifunza kuwa na nidhamu ya pesaMwenyewe ninatatizo kama lako. Kunamuda mpaka nashindwa kutanisha mwezi wa mshahara![]()
![]()