Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
Sasa si wadada wa Watu wanapatashida[emoji12]Flirting...hii tabia nashukuru inaniondoka!!
Sasa si wadada wa Watu wanapatashida[emoji12]Flirting...hii tabia nashukuru inaniondoka!!
Mshana yaani ata sielewagi post zako. Hapa nimejitahidi kufikilia sijaelewa kitu. Hebu fafanua kidogo Mkuu hizo pichaView attachment 412915View attachment 412916View attachment 412917View attachment 412918View attachment 412919[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kumbe toto zuri una aibu??.....pole mwaya!Aibu
Nyie nasikia huwa ni hatari chumbaniAibu
Jaribu kufanya make over[emoji56]Aibu na kutojiamini hivi vitu vinanitesa sana
Kweli mungu kaumba[emoji3]My weakness nina utani uliopitiliza nimewaudhi na kuwakasirisha watu wengi kwaajili ya utani utani wangu wao wanachukulia serious
Mkuu nahis bado ipo...kama bado unaitambua kama weaknes yako[emoji12]Flirting...hii tabia nashukuru inaniondoka!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Jaribu kufanya make over[emoji56]
[emoji56] hapo kwenye mengine mashetani,mungu alisema shetani ni mmoja wewe umewatoa wapi wote hao?upo kama mimi naamini mtu kumbe mengine mashetani kabisa
Duh!yoyote ile?...ww kiboko ata kasura uangalii...ila kweli si wanasema nyama huwa ni ile ile.Papuchi
Nimepunguza sana interaction na wadada.Sasa si wadada wa Watu wanapatashida[emoji12]
Taratibu inaondoka mkuu.Mkuu nahis bado ipo...kama bado unaitambua kama weaknes yako[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji56] hapo kwenye mengine mashetani,mungu alisema shetani ni mmoja wewe umewatoa wapi wote hao?
Poa poa mkuu,pambana..mwenyewe huwa kananipitia hako katabia muda mwingine,nikutana na vyura vyeny creative artwork....Taratibu inaondoka mkuu.
Napenda sana giza[emoji102]Mshana yaani ata sielewagi post zako. Hapa nimejitahidi kufikilia sijaelewa kitu. Hebu fafanua kidogo Mkuu hizo picha